CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
ni mkusanyiko wa vijana graduants(35) ambao ni unemployed katika formal sectors.iko kwenye birth stage inafikiria kutoa services na products mbalimbali ,consultance inclusive.
kufanya biashara kwa mtindo huo.yes kwa pamoja......Mkuu hao 35 graduate ni kila mtu ana wazo la kufanya biashara au mnataka kuanzisha kwa pamoja, ila ni hatua nzuri sana mkuu,
Why kaskazini mkuu chasha?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mkuu kaskazini kwa sababu ndo makazi yangu,Ila wewe huko uliko unaweza ku organize tu, ni muhimu kwa watu wa maeneo jirani, Mfano Dar na Pwani na Moro, Mwanza, Mara, Kagera na Shinyanga