Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Napendekeza kufanyike maandamano ya mshikamano wa wananchi kuonesha kutokuwa na imani na bunge na uongozi wa serikali. Any takers?
Manake mimi yamenifika utosini.
Tusiwe na Imani na wabunge wote. Tuanzie na wale waliokubaliana na wazo la kuongeza Wabunge maana hata hasara wanayoiingizia nchi hawaijui.Kutokuwa na IMANI na WABUNGE WA CCM...
bila kugangamala kunasiku wachina watatawala nchinapendekeza yafanyike haraka nayasiongozwe na chama chocho kile cha siasa