johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli Dar es salaam ni chafu mno leo nimepita mitaa ya Kinondoni mkwajuni hakika kunanuka na kutia aibu.
Kwa ufupi kabisa niwaombe madiwani wa Dar wakajifunze usafi kwa wenzao wa Moshi au hata pale Iringa manispaa.
Kwa kweli Dar es salaam kwa uchafu inatisha na hii Corona ndio hatari tupu.
Maendeleo hayana vyama!