Hapo kwenye hulka tupo pamoja. Usafi kwenye miji yetu hauitaji uwe na vyeti. Hifadhi za baabara zinaeleweka, sehemu za kufanya biashara zinaeleweka na sehemu nyingine nyingi tu, lakini kodi wanalipa usafi hakuna anayejisumbua.kushughulikia.
Nenda kwenye masoko ukaone hali ilivyo na hizi mvua, Je inahitaji dergree?
Kuna sehemu pale Kariakoo muda wote panatirirsha maji ya chooni, panachemba imepasuka. Je unahitaji vyeti?
Vyeti ni wakaguzi wa mabucha, mazingira ya watoahuduma za chakula(migahawa) na wengine wanaotoa huda kama hizo, hapo kweli elimu inahusika.