johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Population kubwa ya wabangaizaji na walionyimwa elimu Bora ni moja ya factor ya Dar kuwa chafuKiukweli Dar es salaam ni chafu mno leo nimepita mitaa ya Kinondoni mkwajuni hakika kunanuka na kutia aibu.
Kwa ufupi kabisa niwaombe madiwani wa Dar wakajifunze usafi kwa wenzao wa Moshi au hata pale Iringa manispaa.
Kwa kweli Dar es salaam kwa uchafu inatisha na hii Corona ndio hatari tupu.
Maendeleo hayana vyama!
Population kubwa ya wabangaizaji na walionyimwa elimu Bora ni moja ya factor ya Dar kuwa chafu
Tatizo mlifanya makosa kuhurusu jiji liongozwe na wale jamaa wa vema
We borooo LA magufuli lumekuondoa akili kichwani
Km ufipa ni chafu unategemea watasimamia usafi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo watanzania waliamua kuwa na serikali ili ifanye Mambo ambayo Kama yakifanywa na mtu binafsi au vikundi vya watu itakuwa vurugu.Bahati mbaya kwetu ni kuwa wale tuliowaamini waongoze serikali yetu wamejikita kweli kulinda madaraka yao na kufanya ubaguzi.wao hawaoni Kama elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa letu bali wanaona elimu ni mtambo wa kuzalisha watu waoweza kuhoji matumizi ya Kodi zao na jinsi gani mtu anaweza akaokota kichwa cha treni .sasa ili kuzuia hilo wakaamua kuwapa watanzania bora elimu ili wote wawe Kama akina Bia Yetu
Tatizo mlifanya makosa kuhurusu jiji liongozwe na wale jamaa wa vema
Km ufipa ni chafu unategemea watasimamia usafi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwiga unazijua kazi za diwani?Duh Watu mazuzu / kwani Jukumu la usafi nila madiwani
Wewe matako kama ya Mme wako magufulilii
Come on, acha petty issues, talk how to fight corona!Kiukweli Dar es salaam ni chafu mno leo nimepita mitaa ya Kinondoni mkwajuni hakika kunanuka na kutia aibu.
Kwa ufupi kabisa niwaombe madiwani wa Dar wakajifunze usafi kwa wenzao wa Moshi au hata pale Iringa manispaa.
Kwa kweli Dar es salaam kwa uchafu inatisha na hii Corona ndio hatari tupu.
Maendeleo hayana vyama!
Ingia kwenye maombi bwashee pia chukua tahadhari mtafute Mrisho Mpoto akufundishe kunawa mikono!Come on, acha petty issues, talk how to fight corona!
Hakuna cha changamoto wala nini. Watu hawataki kuwajibika katika nafasi zao. Mfano Watu wanashinda na kufanya biashara chini ya Daraja pale Ubungo Terminal, wanaacha uchafu wa kila aina. Je ni sahihi kuwa na biashara pale? Biashara za machinga na mama lishe hata Moshi na Iringa zipo. Kwanini miji yao ni misafi? Sawa changamoto ni wingi wa watu, Je kunajuhudi za kimkakati zinafanyika kudhibiti uchafu?Kwanza ijulikane tu kuwa changamoto za mji wa Moshi na Dar ni tofauti kama mbingu na Ardhi!!
Hawa viongozi na wataalamu wa Dar hata wakienda Moshi mara mia kujifunza watarejea kufanya madudu zaidi ya wanayofanya sasa!!
Kama wameshindwa kutatua changamoto za Dar wakati waliahidi kufanya hivyo wawapishe wenye uwezo huo na nia ya dhati...!!
Hivi una taaluma gani? Ndiyo... Naomba nijue kabla sijaendelea kujenga hoja zangu...Hakuna cha changamoto wala nini. Watu hawataki kuwajibika katika nafasi zao. Mfano Watu wanashinda na kufanya biashara chini ya Daraja pale Ubungo Terminal, wanaacha uchafu wa kila aina. Je ni sahihi kuwa na biashara pale? Biashara za machinga na mama lishe hata Moshi na Iringa zipo. Kwanini miji yao ni misafi? Sawa changamoto ni wingi wa watu, Je kunajuhudi za kimkakati zinafanyika kudhibiti uchafu?
Swala la usafi haliitaji taaluma.Hivi una taaluma gani? Ndiyo... Naomba nijue kabla sijaendelea kujenga hoja zangu...
Mpoto simsikii, yuko wapi? Au yuko Chato isolation? π³π³π³π³π³π³Mpoto ni saizi ya nyinyi wa elimu ndogo!πππππππππππππππIngia kwenye maombi bwashee pia chukua tahadhari mtafute Mrisho Mpoto akufundishe kunawa mikono!