johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Leo alikuwa hapo Togo na Ufipa na gari la matangazo akitoa elimu ya kunawa mikono!Mpoto simsikii, yuko wapi? Au yuko Chato isolation? 😳😳😳😳😳😳Mpoto ni saizi ya nyinyi wa elimu ndogo!😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
anapita kwa wenzake wenye elimu ndogo. Mpoto hana la kunifundisha mimi maana wasanii wote ni WASANII na USANII!Leo alikuwa hapo Togo na Ufipa na gari la matangazo akitoa elimu ya kunawa mikono!
Usafi na uchafu ni hulka na taaluma za watu Mkuu...Swala la usafi haliitaji taaluma.
Haya bhana...... Lakini nimewaona akina Mnyika na vijana wake wakimpigia makofi!anapita kwa wenzake wenye elimu ndogo. Mpoto hana la kunifundisha mimi maana wasanii wote ni WASANII na USANII!
Hapo kwenye hulka tupo pamoja. Usafi kwenye miji yetu hauitaji uwe na vyeti. Hifadhi za baabara zinaeleweka, sehemu za kufanya biashara zinaeleweka na sehemu nyingine nyingi tu, lakini kodi wanalipa usafi hakuna anayejisumbua.kushughulikia.Usafi na uchafu ni hulka na taaluma za watu Mkuu...
Hapo kwenye hulka tupo pamoja. Usafi kwenye miji yetu hauitaji uwe na vyeti. Hifadhi za baabara zinaeleweka, sehemu za kufanya biashara zinaeleweka na sehemu nyingine nyingi tu, lakini kodi wanalipa usafi hakuna anayejisumbua.kushughulikia.
Nenda kwenye masoko ukaone hali ilivyo na hizi mvua, Je inahitaji dergree?
Kuna sehemu pale Kariakoo muda wote panatirirsha maji ya chooni, panachemba imepasuka. Je unahitaji vyeti?
Vyeti ni wakaguzi wa mabucha, mazingira ya watoahuduma za chakula(migahawa) na wengine wanaotoa huda kama hizo, hapo kweli elimu inahusika.
He was having fun from fun makerLakini nimewaona akina Mnyika na vijana wake wakimpigia makofi!
Wataalamu wa afya ya jamii wapo wengi sana. Nahisi kuna mpaka ...Afisa Afya Jamii wa Kata(sidhani kama wanaitwa hivyo), Je wanafanya kazi zao inavyotakiwa.? Kweli kabisa Watu wetu wengi hawana elimu kuhusu mazingira na usafi katika sehemu zinazowazunguka.Mkuu hizo ni taaluma za watu unazungumzia...
Wewe umefanikiwa kujua ni uchafu kwa sababu una uelewa fulani juu ya taaluma ya usafi na uchafu...
Kuna watu wengi tu wasiokuwa na taaluma wala uelewa kama wako... Wao wala hawaoni tatizo...
Binafsi kuna siku nilipita Kariakoo kipindi hiki cha mvua nikasema sirudi tena... Yaani kote kulia kushoto nyuma mbele kote pananuka harufu za uozo uliooza!
Nilitapika balaa...!!
Mimi naamini kuwa hatuhitaji maombi wala ramli kutatua changamoto za uchafu kwenye miji yetu... Matatizo yanayosabishwa na binadamu yanahitaji taaluma, uelewa na mipango sahihi
Mkuu hao mara nyingi ni weupe sana kwenye taaluma ya uchafu na usafi...Wataalamu wa afya ya jamii wapo wengi sana. Nahisi kuna mpaka ...Afisa Afya Jamii wa Kata(sidhani kama wanaitwa hivyo), Je wanafanya kazi zao inavyotakiwa.? Kweli kabisa Watu wetu wengi hawana elimu kuhusu mazingira na usafi katika sehemu zinazowazunguka.