4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
WanaJF Mungu Mwema siku zote, ni imani yangu mpo na afya njema.
Chaguzi za vyama bado zinaendelea, katika baadhi ya vyama vya siasa nchini kwetu.
Rejea mada tajwa.
Ni vyema midahalo kuendelea kwa wenyeviti wote wa vyama vyote ambao watakua wamechaguliwa, lakini pia kwa makamu mwenyeviti wote, hii ni fulsa kwa wananchi kuelewa sera za vyama vyao ili waweze kujiunga navyo.
Ni matumaini yangu kwa upande wa M/wenyeviti Mzee wangu Wasira atawagalagaza wote, na ni vyema mdahalo huu kutangulia kabla ule wa Wanyeviti.
Chief Odemba tafadhali sana ,
Thanks.