Pendekezo: Mwinyi Zahera, ainoe Taifa Stars

Tumpe muda, inaonekana atafaa... kama sio yeye basi yule mzee Plujim wa Azam fc.,
Bila ushabiki umetoa mawazo mazuri kwa kujadili... Mimi Simba ila nimekuelewa
 
Tuachieni Zahera wetu kwanza atuvushe....japo nikweli anauwezo wa kuwajua wachezaji hasa wa ktz na kuwaelewa......
 
Kiwango chake kinaishia kwa vyura. Haiwezi Taifa Stars.
 
*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*

*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*

Daima mbele nyuma mwiko
 
Yanga Ya Watanzania,Yanga Ni Yetu Sote.
 
Wazo lako zuri lakini Bahati mbaya viongozi wote wa TFF ni wapenzi WA kutupa wa Fisi FC!
 
Aishie Yanga tu hana uwezo wowote anachojua nukupaki basi tu, sisi tunaka soka itandazwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…