Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na low minded mkuuAksante, una lingine mkuu?
Kwenye huu Uzi kuna sehemu wameandika kuhusu biashara united we mbuziMkuu naona hasira zako za Timu yako Biashara United umeamua kuimalizia kwa Zahera.
Mkuu ni jokes za Simba na Yanga usipanic nilitaka nikutoe kwenye mstar kidogoAksante, una lingine mkuu?
Hahahahaha Mkuu punguza povu,naomba unipe msimamo wa Biashara United kwenye Ligi KuuKwenye huu Uzi kuna sehemu wameandika kuhusu biashara united we mbuzi
Sasa hivi ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya congo na Yanga kwa wakati mmojaLabda afundishe Yanga na Taifa Stars kwa wakati mmoja.....!
Oya ulishakula au njaa zinakusumbuaHahahahaha Mkuu punguza povu,naomba unipe msimamo wa Biashara United kwenye Ligi Kuu
Jumapili tunakutana Taifa ndio mtakapoelewa Yanga inabahatisha au laaOya ulishakula au njaa zinakusumbua
Yanga Ya Watanzania,Yanga Ni Yetu Sote.*Yanga ni utamaduni wa Mtanzania,ni hazina ya urithi wetu na hifadhi ya mapokeo,ni Tunu ya Wananchi na alama ya Uhuru wetu. Ewe Mwanajangwani usikose jpili 9/12/2018 kusherekea siku ya Uhuru kwa kuwatizama mabingwa mara nyingi Tanzania Yanga wakichuana na Biashara toka Musoma alikozaliwa Mpigania Uhuru Baba wa Taifa letu na Shabiki Nguli wa Yanga Hayati Mwl Nyerere*
*Tusherekee Uhuru wetu kwa kuitizama Tunu ya Taifa Letu Yanga...Usikose ewe Mwanachi*
Daima mbele nyuma mwiko
Na ndo mtawaona biashara tunaanza na nieJumapili tunakutana Taifa ndio mtakapoelewa Yanga inabahatisha au laa
Soka itandazwe bila magoli?ni sawa na kumpiga deki demu halafu ukashindwa kumfikisha kileleniAishie Yanga tu hana uwezo wowote anachojua nukupaki basi tu, sisi tunaka soka itandazwe
Zikipungua 5Na ndo mtawaona biashara tunaanza na nie
Kwani unatafuta mme wa kukuoa?We ni jinsia gani mkuu tuanzie hapo kwanza