Pendekezo: Mwinyi Zahera, ainoe Taifa Stars

Mbumbumbu Fc hawawezi kubali hii.
Wewe ni mkongomani nini, maana hata kuandika kwako, Unaandika kikombani tu.

Hawawezi Kubali x.
Hawawezi Kukubali √
Hawawezi kubali hii, jambo, Ulichoeleza, Uliloandika. x
Hawawezi kukubali hili, Jambo, Ulichoeleza, Ulichoandika. √
 
atakuwa anafundisha timu tatu, congo, tanzania, na yanga
 
Umenena vema
 
Wewe ni mkongomani nini, maana hata kuandika kwako, Unaandika kikombani tu.

Hawawezi Kubali x.
Hawawezi Kukubali √
Hawawezi kubali hii, jambo, Ulichoeleza, Uliloandika. x
Hawawezi kukubali hili, Jambo, Ulichoeleza, Ulichoandika. √
Hahah eti mbumbumbu inanikosoa uandishi wangu. Trust me mkuu, najua wapi nitumie lugha rasmi na wapi nisitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…