Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Wewe ni mkongomani nini, maana hata kuandika kwako, Unaandika kikombani tu.Mbumbumbu Fc hawawezi kubali hii.
Hawawezi Kubali x.
Hawawezi Kukubali √
Hawawezi kubali hii, jambo, Ulichoeleza, Uliloandika. x
Hawawezi kukubali hili, Jambo, Ulichoeleza, Ulichoandika. √