PENDEKEZO: Nani kumrithi Dkt. Msonde NECTA?

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI, (kwa mtazamo wangu hii ni demotion)

Swali la kujiuliza kwanini aondoke MITIHANI YA A LEVEL NECTA ikiwa inaendelea?

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
 
Ni vyema aliyekuwa naibu akapanda kuchukua nafasi ya Msonde ili kulinda mazuri yote aliyoyanga na kuyasimamia kwa dhati.
Akiteuliwa kutokea nje, ataingiza mambo yake na kuiharibu sifa nzuri ya NECTA.
Hongera sana Dr. Msonde, kasafishe huko TFMISEMI, FYEKELEA MBALI GENGE LOTE LA WAHUNI.
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Hakika kama mzalendo nimeumia mno kumtoa Dr. Msonde NECTA. Hili ni kosa kama lile walilofanya kwa TPDC. Wasahihushe Hilo kosa arudishwe NECTA kwa kweli. Tutaanza kusikia tena mitihani ya Taifa imebandikwa kwenye miti na vituo vya daladala.
 
Ndicho kitakachotoea,

Na hii nahisi sio promotion ni demotion
 
Alikuwa ni mtendaji kweli, na akipanga kuanza, kusahihisha mitihani kwa computer
Yaani mtendaji super chapakazi. Aliipa heshima NECTA. Teuzi nyingine zinaharibu kabisa. Mama watu wako humu wakuletee kilio chetu kuwa Dr. Msonde arudi NECTA. Fanya kama TPDC
 
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Umesahau suala la ule upande mwingine? Watoto wa wafilisti hawaelewi lile somo sasa inabidi mfilisti awekwe hapo kulazimisha matokeo.
 
Hiyo ni demotion

Nchi hii ilibaki elimu afya na jeshi km taasisi zinazohimika ila sasa zinaenda kuharibiwa
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,

Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?

Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
 
Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...

Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.

Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.
Hahahahahahhahaha,

Nasikia Kuna Kombo, Abdul anaandiliwa, yupo tete pemba
 
Back
Top Bottom