bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,217
Alikuwa ni mtendaji kweli, na akipanga kuanza, kusahihisha mitihani kwa computerNilikuwa namkubali sana pale Necta
Nani, sio Dr?Huyo sio Dr mbona
Tutegemee kuanza kuvuja kwa mitihani tenaShule za wateule zisirudie biashara yao ya kununua mitihani
Hakika kama mzalendo nimeumia mno kumtoa Dr. Msonde NECTA. Hili ni kosa kama lile walilofanya kwa TPDC. Wasahihushe Hilo kosa arudishwe NECTA kwa kweli. Tutaanza kusikia tena mitihani ya Taifa imebandikwa kwenye miti na vituo vya daladala.Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Kweli mkuu. Yaani sielewi hizi teuzi.Tutegemee kuanza kuvuja kwa mitihani tena
Yaani watanunua mno. Mkuu hili ni pigo kwa NECTAShule za wateule zisirudie biashara yao ya kununua mitihani
Ndicho kitakachotoea,Hakika kama mzalendo nimeumia mno kumtoa Dr. Msonde NECTA. Hili ni kosa kama lile walilofanya kwa TPDC. Wasahihushe Hilo kosa arudishwe NECTA kwa kweli. Tutaanza kusikia tena mitihani ya Taifa imebandikwa kwenye miti na vituo vya daladala.
Yaani mtendaji super chapakazi. Aliipa heshima NECTA. Teuzi nyingine zinaharibu kabisa. Mama watu wako humu wakuletee kilio chetu kuwa Dr. Msonde arudi NECTA. Fanya kama TPDCAlikuwa ni mtendaji kweli, na akipanga kuanza, kusahihisha mitihani kwa computer
Umesahau suala la ule upande mwingine? Watoto wa wafilisti hawaelewi lile somo sasa inabidi mfilisti awekwe hapo kulazimisha matokeo.Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Tumeona ,Msonde kawa promoted to TAMISEMI,
Je, kwa mtazamo wako unadhani Nani ni sahihi Kumrithi, Msonde NECTA?
Mimi, nampendekeza Mr.Mbwaga,Innocent (Ana deserve),atafanya mazuri zaidi ya NDALICHAKO na MSONDE.
Kweli hata Mimi naona hivyo. Tusubiri jina jipya ndiyo tuta conclude Jambo Fulani.Ndicho kitakachotoea,
Na hii nahisi sio promotion ni demotion
Hahahahahahhahaha,Wewe jua tu kuna mfilisti anakuja pale baada ya mgalatia kutolewa...
Zamu hii waimba kwaya lazima mnyooshwe, mlizoea kuwaonea sana wacheza kaswida kwa kutumia NECTA.
Mama endelea hivyo hivyo kuupiga mwingi mpaka akili ziwakae.