PENDEKEZO: Ofisi zote za Umoja wa Mataifa zilizopo Nairobi zihamishiwe Arusha

Na iwe hivyo kama unenavyo walahi
 
Once in the past general election rallies, uhuru heard by promising Kenyans that he gonna lead them like how JPM does in Tanzania, I heard that myself and everyone in the rally was bursting with joy like JPM is talking to them directly. Smh
 
This post shows everything wrong with Bongolalas here, Kenya has become a bench-mark for everything they want to do or to have...
They have something we call the "scarcity mentality" , i.e for them to progress Kenya has to fall behind, for them to get something, Kenya has to loose it... upuzi huo.

Have your own plans, si kila siku Kenya ianguke ndio msonge mbele.
 

Bro umeandika nini hii!!!!

Unajua hata arusha ni nini??
 
Mi naoma hizo ofisi zihamishiwe Chato maana kule ulinzi mia mia
 

Hapa umefunga mjadala.
 
Hapa umefunga mjadala.
NBO ambayo inategemea barabara pekee kama njia ya usafiri nayo unaiweka katikat ya miji ya Europe yenye miundombinu kadhaa ikiwepo treni za kutumia umeme,cable cars,na nk, hv wakenya huzungumza kingereza na Nani hasa? Basi ingekua issue ni kingereza huo uchumi wenu wa per capital $1700 nao mnaona mmefika?
Waafrica tunaridhika na vitu vidogo sana tunatia aibu mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.

Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
Kizungu ni kipi haswa...kifaransa,kingereza,kijerumani au kihispania?
 
H
UNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.

Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
Hey don't try to insult our president
 
UNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.

Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
Miaka mitatu ya Raisi wetu mpendwa kanunua ndege 6 tayari nyie mko bize na ukabila, anajenga reli ya standard gauge nyie mko bize na kuwapatanisha wanasiasa, kajenga vituo vya afya zaidi ya 300. na mengineyo mengi, nyie endeleeni kujivunia kizungu.Our President is just an African hero
 

Wao wanaangalia mengi sio barabara tu, kwa hapa Afrika ushindani ulikua mkali dhidi ya miji mingi tu na hawa huwa hawakurupuki, hutumia muda wao kwa kuchagua kwa makini wapi waweke ofisi.
 

Dikteta wenu atakumbukwa kwa:

1. Lack of freedom of the press.
2. Using military to engage in civilian matters like forex bureas.
3. Stealing, confiscating and destroying a friendly neighbors properties.
4. Assassinating and attempted assassinations of political opponents.
5. Creating an unstable business environment where every businessman fears the govenment.
6. Harrassing foreign investors.
7. Wasting money that should go to education, health, etc. to buy flying buses.
 
Wabongo na kutamani vya jirani badala ya kujenga vyao tena kwa kuombea majirani mabaya ili wao wapate kutake advantage. Dua la kuku halimpati mwewe so kijiji cha Arusha kitakaa tu hivo kama kijiji vingine vya Tz.
 

Ignorance has no defense. Enda ukasome historia ya kutafutwa kwa headquarter ya UNEP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…