ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Marehemu wewe walahiMagufuli is a dictator.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marehemu wewe walahiMagufuli is a dictator.
Viongozi wa Tanzania wana chuki na kaskazini. Arusha imekuwa paralized kwa muda mrefu kutokana na siasa za kipuuzi za CCM na washamba wanaoifikiri Arusha ikiendelea ni maendeleo yatakuwa ya kaskazini.
Kwa muda mrefu sana, hakuna infrastructure, hakuna planning, wala chochote cha maana kinachoakisi jiji linaloweza kuwaweka wafanyakazi wa kimataifa. Arusha kumebaki kama kijinini tu. Serikali ya CCM inapaswa kuondolewa madarakani kwanza ndipo tutakuwa na mikakati unayoisema.
Elimu inadidimizwa, viongozi wanakuja na ngonjera za kiswahili huku dunia inataka kingereza. Amkeni basi watanzania. Kuweni wajanja kidogo mfanane na dunia inavyotaka.
Let me press here to come up with the fare decision. I trust this machineKati ya Sura ngumu na roho mbaya ,ni nini kibaya zaidi Redeemer Lutheran?
Mi naoma hizo ofisi zihamishiwe Chato maana kule ulinzi mia miaMda umefika wa the UN office in Arusha.
Arusha kuna ofisi nyingi za mashirika ya kimataifa (Mahakama ya Afrika, Jumuiya ya Afrika Mashariki, Pan African Lawyers Union, Pan African Postal Union, the UN International Residual Mechanism for Chriminal Tribunals et cetera)
Napendekeza the United Nations Office at Nairobi ihamishiwe Arusha ili tuwe na Geneva of Africa!
Majirani najua mtatoa povu but this is the right way!
View attachment 996838
Picha: Ofisi za UN MICT, Arusha, Tanzania
If you took 5 minutes to Google the history of how Nairobi got that office, you would just retreat and never bring up such nonsense again.
On a list of top 100 cities that can be on the running to host it, Arusha does not even make top 200.
Actually, Nairobi was competing against cities in Europe, not even Africa.

NBO ambayo inategemea barabara pekee kama njia ya usafiri nayo unaiweka katikat ya miji ya Europe yenye miundombinu kadhaa ikiwepo treni za kutumia umeme,cable cars,na nk, hv wakenya huzungumza kingereza na Nani hasa? Basi ingekua issue ni kingereza huo uchumi wenu wa per capital $1700 nao mnaona mmefika?Hapa umefunga mjadala.
Kizungu ni kipi haswa...kifaransa,kingereza,kijerumani au kihispania?UNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.
Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
Hey don't try to insult our presidentUNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.
Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
Miaka mitatu ya Raisi wetu mpendwa kanunua ndege 6 tayari nyie mko bize na ukabila, anajenga reli ya standard gauge nyie mko bize na kuwapatanisha wanasiasa, kajenga vituo vya afya zaidi ya 300. na mengineyo mengi, nyie endeleeni kujivunia kizungu.Our President is just an African heroUNEP offices in Nairobi will go to Kisumu faster than you can pronounce Arusha.
There is nothing in that village town. No human resource capacity.. nothing.
Kwanza mjifunze kizungu, na mtoe dikteta wenu mamlakani.
NBO ambayo inategemea barabara pekee kama njia ya usafiri nayo unaiweka katikat ya miji ya Europe yenye miundombinu kadhaa ikiwepo treni za kutumia umeme,cable cars,na nk, hv wakenya huzungumza kingereza na Nani hasa? Basi ingekua issue ni kingereza huo uchumi wenu wa per capital $1700 nao mnaona mmefika?
Waafrica tunaridhika na vitu vidogo sana tunatia aibu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka mitatu ya Raisi wetu mpendwa kanunua ndege 6 tayari nyie mko bize na ukabila, anajenga reli ya standard gauge nyie mko bize na kuwapatanisha wanasiasa, kajenga vituo vya afya zaidi ya 300. na mengineyo mengi, nyie endeleeni kujivunia kizungu.Our President is just an African hero
H
Hey don't try to insult our president
NBO ambayo inategemea barabara pekee kama njia ya usafiri nayo unaiweka katikat ya miji ya Europe yenye miundombinu kadhaa ikiwepo treni za kutumia umeme,cable cars,na nk, hv wakenya huzungumza kingereza na Nani hasa? Basi ingekua issue ni kingereza huo uchumi wenu wa per capital $1700 nao mnaona mmefika?
Waafrica tunaridhika na vitu vidogo sana tunatia aibu mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha competing with European cities on slums, crime, joblessness, poverty, water scarcity, Garbage, stinking environment, hahahaha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukabila, njaa, corruption and uncivilized way of killing each other ndivyo vitasababisha UN waikimbie Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app