19911008
Member
- Aug 31, 2024
- 19
- 40
Jamhuri ya muungano.
Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa kingali kimevurugwa kiasi, akasema "natamani Oral interview ifanyiwe huku pia. Nikamuuliza "why so?", akasema " nauli ...."! Nikamwambia ngoja niingie JFM nitoe pendekezo labda watasikia na kufikiria namna ya kuleta maafisa usaili huku kwenye "second side of the coin..."(joking)!
Kazi iendelee........ 5 more!