johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Naibu waziri mkuu!Sio naibu rais?
Katiba siyo msahafu bwashee!Katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, haina cheo cha Naibu Waziri mkuu
Awe tu makamu wa pili wa rais au awe rais kabisa.
Kwani 'bwanayule' anahitaji hiyo katiba yako 1977?Katiba yetu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, haina cheo cha Naibu Waziri mkuu
Tatizo lako unataka kusikia yale unayoyapenda tu!Kumbe mwaka Jana ulikuwa kwenye peak ya busara yako?
Huo ni mtazamo wako manka!UKIZEEKA UTAKUWA KAMA PASCAL MAYALLA.
AMA UTAKUWA MALLAYA.
Huwa unaandika utopolo sana.
KABUDI AMEONYESHA UMAHIRI MKUBWA SANA AKIWA UDSM.
NJE YA HAPO AMEIFANYIA NINI WIZARA ALIZOZIONGOZA 5 YEARS.
Jifunze ku digest.
Sasa niwe tayari kusikia hoja isiyoungwa mkono na sheria yoyote nchini halafu huyo mtu niendelee kumpa heshima anayostahili? Kwa huu utopolo wako ni sahihi hata Mimi nikipendekeza Shamsi Vuai Nahodha awe Waziri Mkuu wa Zanzibar?Tatizo lako unataka kusikia yale unayoyapenda tu!
Katiba siyo msahafu bwashee!