Pendekezo: Prof. Kabudi awe Naibu Waziri Mkuu

Kajifunze kuandika kwanza na mawazo yako mfu, kwanza hatuna mtu wa aina hiyo, Hatuna Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabuni.
The whole issue is void.
Naomba kujua elimu yako tafadhali.?
 
daah toka dunia iumbwe mwaka huu nimeina mipasho iliyokwwnda school ya prof kabudi[emoji23][emoji23]

Kabudi baba laooo

Ile mipasho kina Amsterdam na Wajumbe wa Bunge la EU wapinzani huwakuisikia?? Au huko Tundu tuu ndio anaelewa inglishi???
Basi ni vyema kumwomba tafsiri
 
Ile mipasho kina amstadam na wajumbe wa bunge la EU wapinzani huwakuisikia?? Au huko Tundu tuu ndio anaelewa inglishi???
Basi ni vyema kumwomba tafsiri
CDM 99.99% ni vichwa maji .. kama kiongozi ni Mbowe cha pombe unategemea wafuasi watakuwa na hali gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hicho cheo naona apewe jamaa mmoja anajiitaga msemakweli chakubanga
na namba zake za simu kila kitu kinapatkana kwenye post zake ni sauala la kumpigia simu na kumwambia aripoti j3 kituo cha kazi

Wishing u all the best Leslie Mbena kazi hii umeipata
 
Kajifunze kuandika kwanza na mawazo yako mfu, kwanza hatuna mtu wa aina hiyo, Hatuna Prof Palamagamba Phillip Aidan Kabudi.
The whole issue is void.
Naomba kujua elimu yako tafadhali.?
Darasa la pili!
 
CDM 99.99% ni vichwa maji .. kama kiongozi ni Mbowe cha pombe unategemea wafuasi watakuwa na hali gani??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Si ndio mkakodisha majeshi ya Burundi kwa pesa za Corona za EU au vipi?
 
Anafaa hapo alipo ili mabeberu yaendelee kujipaka vinyesi.Kabudi yayafurumisha mabeberu sasa yanaruka na kukanyagana
 
CCM mna uwezo wa kumwibia kura na kuwa Rais. Hata Kaijage angemtangaza kuwa Rais bila kugombea angekuwa tu. Katiba inasema NECCM ikishatangaza hakuna mtu anayeweza kupinga, siyo? Kuna siku tutapata jaji akichaa amtangaze kimada wake kuwa Rais.
 
Kuna katiba mpya Yenye cheo kama hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…