Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

Pendekezo: Rais Samia Suluhu wachukue Maria Sarungi Tsehai, Mwele Malecela na Fatma Karume kwenye Serikali yako

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection

Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa Mwendazake hayati Magufuli

Maria Anaishi uamishoni kama sikosei baada ya kukosoa utawala wa Mwendakazi

Fatuma katupwa Zanzibar kukanyaga dar ilikuwa mbinde kwenye utawala wa awamu ya 5

Mwele Malecela huyu aliogopa kuja Tz baada ya kutimuliwa NMRI



Mh Samia jua kuwa system inayokuletea viongozi kamwe hatakuletea watu makini kama hawa na wengi

Sio kwamba nawapigia debe ila historia yao ndio inanituma nikupe ili pendekezo


KWA KUANZA MCHAGUA MARIA SARUNGI TSEHAI KUCHUA NAFSI YA MKURUGENZI WA MAWASILIANO IKULU

images (2).jpeg


images (1).jpeg


images (5).jpeg
 
Maria Sarungi anaonekana competent sio zile type za kubebwa na jina la baba, same kwa Fatma, ila huyo wa Malecela aendelee kubaki huko aliko post aliyonayo ni kubwa zaidi, au kama akipenda kurudi Tanzania ndio uzalendo wenyewe
 
Hao waachwe waendeee na uanaharakati wao. Dr. Mwele Malecela yupo kama expatriate na WHO nje ya TZ na sio eti aliogopa kuja Tanzania
 
Watanzia wako wengi tu—wenye exposure na elimu nzuri tu.
 
Usitake Tanzania ya amani tuanze kuandamana. Eti kina nani wawekwe kwenye Serikali tukufu?
 
Wako vizuri na ni tunu ya Taifa hili hao akina Dada
 
Kwanza ni kwanini awawke hawa serikalini at all. Ni kwa sababu ni watoto wa viongozi waliotangulia au? ule mfumo wa kuwekana ukoo mzima madarakni Mh. Dr. Magufuli aliufuta. Ni kwanini mama yetu raisi mh. Samia sasa mumwambie mtu wa kuchagua> mama Samia tumemjua kama mtu mwadilifu. Usimfundish kazi. Yale yote waliyoyanadi kwenye ilani za CCM LAZIMA ATIMIZE kwa hiyoi yeye anjua kabisa nanai atamfaa na nnani hatamfaa.
 
Back
Top Bottom