Pendekezo: Serikali ilipie Gharama za internet na TV Siku ya Sensa 2022

Nasema Uongo Ndugu Zangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
279
Reaction score
779
Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.

Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.

Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza kidijitali basi mbona wa hadzabe wanapewa nyara za taifa ili wahesabiwe? Tupe bando tufunguke mama.
 
Serikali ya tozo inapenda tozo siyo watu
 
Kama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.

Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.

Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza kidijitali basi mbona wa hadzabe wanapewa nyara za taifa ili wahesabiwe? Tupe bando tufunguke mama.
Hahahh mkuu naskia zama izi hakunaga cha bure
 
Back
Top Bottom