Nasema Uongo Ndugu Zangu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 279
- 779
πππ
Serikali ya tozo inapenda tozo siyo watuKama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.
Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.
Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza kidijitali basi mbona wa hadzabe wanapewa nyara za taifa ili wahesabiwe? Tupe bando tufunguke mama.
Ahsante, ndugu Maxence Melo weka baraka zako kwenye kurasa zote za jf kesho tupunguze stress za tozo.Naunga mkono hoja
πππSerikali ya tozo inapenda tozo siyo watu
Habari ndiyo hiyoπππ
Hahahh mkuu naskia zama izi hakunaga cha bureKama kweli inatupenda itulipie kesho gharama za internet ili tutumie tuwezavyo siku nzima pia ilipie vifurushi vya premium vya Tv kwenye visimbuzi vyote ili tusiboreke kuwasubiri makarani.
Vinginevyo tutapata stress tushindwe kujibu maswali kwa ufasaha.
Tafadhali mama hebu jaribu kutudekeza kidijitali basi mbona wa hadzabe wanapewa nyara za taifa ili wahesabiwe? Tupe bando tufunguke mama.
Sasa mbona serikali inategemea vya bure toka kwa wananchiHahahh mkuu naskia zama izi hakunaga cha bure