Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kwa sababu Dar es Salaam bado ni mji muhimu sana katika utawala wa nchi kutokana na uwepo wa miondombinu ya kutosha na kuwa mji mkubwa wa kibiashara na pia kwa sababu kwa upande mwingine Dodoma ni mji muhimu sana kwa sababu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere alishaamua na kuelekeza uwe ndio mji mkuu wa nchi ni bora sasa tukafanye miji yote miwili ya Dar es Salaam na Dodoma kuwa miji mikuu ya nchi, baadhi ya taasisi ziwe Dodoma na baadhi ziwe Dar es Salaam.
Tanzania haitakuwa nchi ya kwanza kuwa ni miji mikuu miwili, kuna nchi nyingine pia kama Malaysia, Sri-Lanka na Eswatini zenye miji mikuu miwili. South Africa yenyewe ina miji mikuu mitatu.
Tanzania haitakuwa nchi ya kwanza kuwa ni miji mikuu miwili, kuna nchi nyingine pia kama Malaysia, Sri-Lanka na Eswatini zenye miji mikuu miwili. South Africa yenyewe ina miji mikuu mitatu.