Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
John Mnyika
Leo katika kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii kuna kipande cha wimbo unaoitwa Godbless Lema Usiogope kinasambaa sana.
Napendekeza wimbo ule urekodiwe tena na kuwekwa maneno ya Chadema na Watanzania wapenda mabadiliko Msiogope. Maneno ya ule wimbo yawatie moyo Chama cha Chadema na Watanzania wote wapenda mabadiliko wanaopitia madhira ya kuuwawa, kutekwa, kufungwa gerezani na kupotezwa yanayofanywa na CCM na vyombo vyake vya dola hasa Polisi na TISS.
Nyakati kama hizi ni muhimu sana kuwa na nyimbo za namna ile. Hii inanikumbusha nyimbo zilizokuwa zinawatia moyo wapiganaji waliokuwa wanabambana na Utawala wa Makaburu nchini Afrika Kusini. Kwa sasa hakuna tofauti yeyote kati ya wanachopitia Chadema chini ya Utawala wa kidhalimu wa CCM na dola yake NA walichokuwa wanapitia ANC chini ya Utawala wa kidhalimu wa Makaburu na dola yao.