Prince Liantern
Member
- Oct 21, 2014
- 46
- 11
hizi nguo nazipenda, tatizo ni kwenda sehemu na kukuta mmevaa sare watu kumi... daah..
hizi nguo nazipenda, tatizo ni kwenda sehemu na kukuta mmevaa sare watu kumi... daah..
na pia wauzaji ukienda wewe mswahili hawakuchangamkii, wana mentality kuwa wanazitengeneza kwa ajili ya watalii wazungu
hizi nguo nazipenda, tatizo ni kwenda sehemu na kukuta mmevaa sare watu kumi... daah..
Pande gani mnapatikana!?
ukiikuta hiyo sare kwa mtu nistue.. Smart african designs inajitahidi kubadili designs kila wiki ili zisijae.
Nyie sawa mnabidili kila wiki na sisi waaji tununue kila wiki au!
Nicee... Nimependa designs. Ila hamijataja munapopatikana, ningependa sana kuja kuchagua
nicee... Nimependa designs. Ila hamijataja munapopatikana, ningependa sana kuja kuchagua
sasa kama nikija na design yangu, au sample yangu ambayo nyie hamna kwenye library yenu.. Nikataka mnishonee.. Bei inabaki pale pale?
Smart African Designs inatengeneza na kuuza T shirts nzuri zilizoshonewa kitenge cha African culture. Size zote na Rangi mbalimbali zipo kwa ajili yako. Bei ni Tshs 20,000/= kwa T shirt.
Kwa mawasiliano ( Call/ Whatsapp): 0786 527572
Karibu sana
Kumbe na wewe unapenda kuvaa nguo za design hiyo mshawishi na c6 naye