Pendeza na fulana nzuri za Kitenge za ki Africa (Well designed African T-shirts)

Kwa upande wetu tunakaribisha na kuchangamkia wateja wakitanzania zaidi kwasababu ndio wateja wetu kwa sana..
Karibuni

Ili zisiwachoshe watu, inatakiwa muwe na akili kama za wachina, kuwe na idadi maalumu kwa kila design. Na design isijirudie ili mtu akivaa kwenye mkusanyiko wa watu 1000, ajikute yuko peke yake mwenye design hiyo. Pia mtengeneze na za mikono mirefu pia-wengine tuna-allergy na nguo za mikono mifupi.
 
Sawa sawa
 
Lumumba Street, karibu na Mnazi Mmoja Dar es Salaam.. pia duka letu lipo Sinza karibu na Meeda Bar, tunafanya delivery.. Tuwasiliane 0786527572 kwa maelezo zaidi.
Karibu

Ukishasema lumumba unanikatisha tamaa sipendi kupita karibu na makao makuu ya nyinyiemu
 
Back
Top Bottom