Prince Liantern
Member
- Oct 21, 2014
- 46
- 11
- Thread starter
-
- #21
namba ya airtel haipatikanwi
Sasa kama nikija na design yangu, au sample yangu ambayo nyie hamna kwenye library yenu.. Nikataka mnishonee.. Bei inabaki pale pale?
Nahitaji sana hizo materials. Wapi ofisi zenu?
Nikinunua mengi bei haishuki? Mfano nikinunua 50
Ntachukua moja, In sha Allaah
Bei itakua 10,000/=
hizi nguo nazipenda, tatizo ni kwenda sehemu na kukuta mmevaa sare watu kumi... daah..
Namba yako siioni kwa watsapp.. Nlitaka kukutumia samples
Kwa upande wetu tunakaribisha na kuchangamkia wateja wakitanzania zaidi kwasababu ndio wateja wetu kwa sana..
Karibuni
Sawa sawaIli zisiwachoshe watu, inatakiwa muwe na akili kama za wachina, kuwe na idadi maalumu kwa kila design. Na design isijirudie ili mtu akivaa kwenye mkusanyiko wa watu 1000, ajikute yuko peke yake mwenye design hiyo. Pia mtengeneze na za mikono mirefu pia-wengine tuna-allergy na nguo za mikono mifupi.
Lumumba Street, karibu na Mnazi Mmoja Dar es Salaam.. pia duka letu lipo Sinza karibu na Meeda Bar, tunafanya delivery.. Tuwasiliane 0786527572 kwa maelezo zaidi.
Karibu