Pendeza siku ya harusi

Bitoz

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
30,823
Reaction score
126,553
Waungwana mpo?

Juma Nature aliwahi kusema Sitaki demu lakini siku chache baadaye ajabambwa akiwa na denu shombe shombe wa uswahilini nafikiri ndiye mkewe hadi sasa.

Mwanafalsa naye aliwahi kuulizwa ataoa lini na kujibu Bado niponipo sana, kumbe alikuwa anazuga tu kwani kilichofuata kinajulikana

Siku ya harusi ni miongoni mwa siku muhimu maishani. Ni siku ambayo mtu anaoa/kuolewa kihalali kabisa tena mbele ya kadamasi. Ni siku ya kipekee maishani iliyojaa furaha ya kila aina bila kusahau mbwembwe. Ni siku ambayo kamera zote. zinakutazama ili kuchukua tukio hilo la kumbukumbu.

Sasa basi hapa ni uzi ambao unazungumzia mavazi ya bwana na bibi harusi,bestman/woman na wapambe wao
Iwe ya kikristo,Kiislamu,kimila au ya bomani ndoa ni ndoa tu. Sherehe ikifana ndo habari ya mjini. Hebu tujionee watu wanavyopendeza.




Nyangema uchwara utaoa lini? Bado nipo nipo sana

The Bitoz
 
Last edited:
Huyo bibi harusi wa kwanza nampataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…