Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anapatikana kwa mumewe mkuuHuyo bibi harusi wa kwanza nampataje..?
Ngoja nikaanzishe kerembe amuache nichukue tunda!Anapatikana kwa mumewe mkuu
haita wezekanaPunguza ukware
Wamependeza.
Amen, Mungu akutane na haja ya moyo wakoSafi ... Ngoja niendelee kusugua goti. Panapo majaliwa next year mwishoni nami nipate ubavu wangu.
Ee! Mungu nisaidie.