Pendezesha nyumba na sakafu ya Epoxy 3D

Pendezesha nyumba na sakafu ya Epoxy 3D

Totautisha sebule yako na ya wengine kwa kuweka floor ya 3D
Tunaifanya kazi kiprofessional hatuna kazi mbovu.
Tupigie tukupendezeshee nyumba yako
 
Je ukuta wako unaliwa na fungus , unavuja na kuharibika na maji , sehemu unayotaka kujenga ina maji au umejenga kwenye sehemu yenye maji
Wataalamu wakufanya waterproofing tutakusiadia kutatua tatizo lako.

Tuwasiliane kwa nambari 0757066208
Screenshot_20210312-145405~2.jpg
 
Kwa sakafu ya nnje,ambayo inapgwa na Jua Mchana wote huo mng'ao utadumu milele?

Watu wakiwa wanakatiza katiza haichubuki na kupoteza mvuto "mng'ao" kupotea kbsa au kufifika?

Nmeipenda sana nataman iweka kwenye 1 ya ofisi zangu kwa nnje pale,sema hilo nyomi la wateja

nahisi kama huo mng'ao utakaa wiki TU na kupotea ,niondoe wasi wasi wangu mkuu nijue najilipuaje...
 
Hapo nligusia kwa case ya ndani ila nje kuna aina zake za floor hiyo 3D haifai kabisa jua lazima liathiri kwa kiasi chake.
Jilipue tu mkuu[emoji2] tu subiri ntakuonyesha sample za floor za nje tushauriane vijana waingie kazini.
 
nasubiri Sample za Floor za OUTDOOR jua lake,Mvua Yake,nk Nijibastishe
 
Hivi hizi mambo unaweza kuweka baada ya tiles au unaondoa tiles au inawekwa kipindi gani
 
NB.Wapendwa wateja hizi sakafu zina gharama ndio maana nimeweka na bei kabisa Ili ucalculate ujue kama unaweza au lah!
The materials to be used on 3D expoxy floor are expensive, and we give excellent quality !
Sakafu haichubuki Wala kufubaaa
Please nitafute ukiwa umejipanga!
 
Back
Top Bottom