Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Polisi wanatoa conclusion kama vile mahakama imeshahukumu kua alikua Muongo🤣🤣🤣Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani Pendo Paul Elikana, mkazi wa Mbuga ya Baya, Wilaya ya Meatu, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii kuwa amepewa kazi ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Edith Swebe, imesema uchunguzi umebaini kuwa taarifa alizozitoa binti huyo hazikuwa za kweli, bali alizitunga kwa maslahi binafsi na kwa nia ya kupotosha umma.
"Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kuepuka kutoa taarifa zisizo sahihi au kuchafuana, ili kuepusha taharuki katika jamii," amesema ACP Swebe.
Soma Pia: Video: Askari akiri kupewa ofa ya kumshambulia na kumwangamiza Luhaga Mpina kwa silaha. Asema maisha yake yako hatarini
Ikumbukwe kuwa mnamo Machi 19, 2025, Pendo alidai kupitia mitandao ya kijamii kuwa alipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mbuga, aliyemweleza kuwa anataka kumpa kazi ya kumuua Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina
View attachment 3313528
Kibao kimemgeukia? Ama katishwaJeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani Pendo Paul Elikana, mkazi wa Mbuga ya Baya, Wilaya ya Meatu, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii kuwa amepewa kazi ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Edith Swebe, imesema uchunguzi umebaini kuwa taarifa alizozitoa binti huyo hazikuwa za kweli, bali alizitunga kwa maslahi binafsi na kwa nia ya kupotosha umma.
"Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kuepuka kutoa taarifa zisizo sahihi au kuchafuana, ili kuepusha taharuki katika jamii," amesema ACP Swebe.
Soma Pia: Video: Askari akiri kupewa ofa ya kumshambulia na kumwangamiza Luhaga Mpina kwa silaha. Asema maisha yake yako hatarini
Ikumbukwe kuwa mnamo Machi 19, 2025, Pendo alidai kupitia mitandao ya kijamii kuwa alipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mbuga, aliyemweleza kuwa anataka kumpa kazi ya kumuua Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina
View attachment 3313528
🤔🤔🤔Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limemfikisha mahakamani Pendo Paul Elikana, mkazi wa Mbuga ya Baya, Wilaya ya Meatu, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii kuwa amepewa kazi ya kutekeleza mauaji ya kiongozi wa kisiasa.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Edith Swebe, imesema uchunguzi umebaini kuwa taarifa alizozitoa binti huyo hazikuwa za kweli, bali alizitunga kwa maslahi binafsi na kwa nia ya kupotosha umma.
"Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, kuepuka kutoa taarifa zisizo sahihi au kuchafuana, ili kuepusha taharuki katika jamii," amesema ACP Swebe.
Soma Pia: Video: Askari akiri kupewa ofa ya kumshambulia na kumwangamiza Luhaga Mpina kwa silaha. Asema maisha yake yako hatarini
Ikumbukwe kuwa mnamo Machi 19, 2025, Pendo alidai kupitia mitandao ya kijamii kuwa alipokea simu kutoka kwa mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mussa Mbuga, aliyemweleza kuwa anataka kumpa kazi ya kumuua Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina
View attachment 3313528
Je namba tajwq hapo ni ya nani?Musa Godfrey Mbuga(MUSAMBUGA) ni nani?
Amehojiwa. 👨🦯➡️
Mna divert attention ya LISSU sio!?
We bwege polisi ndio hufanya upelelezianasemaje uwongo wakati mahakama haijathibitisha
Duuh, hii dunia kuna wapumbavu, haki kwa mhalifu?dah, hii dunia hii, haki ipo wapi?
We qma achana namimi hunijui acha kabisa kuishobokea Wala post zangu achana nazo msnge wewe acha kabisa sio kila mtu ni WA kuparamia. KMnn zkWe pumbavu mlaumu mamako kusahau kuvaa condom, kwa hiyo polisi iache kazi? Ulitaka wafanye nn kuhusu huyo kibaraka wako uliyemtaja
Mjinga wewe! Hapo Wana divert vipi? Yaani wewe ni popoma kiasi kwamba ukiambiwa huyo sio babaako, tayari ushakubali sio? PUMBAVU!!Mna divert attention ya LISSU sio!?