Pendo Paul aliyedai kupewa kazi ya kumuua Mpina, afikishwa mahakamani

Taarifa za uongo kivipi? Mmeangalia call records zake na hamkuona hiyo Simu aliyopigiwa? Tuanzie hapo kwanza ndiyo m-confirm kwamba ni taarifa za Uongo maane GESHI letu aliaminiki.
 
Taarifa za uongo kivipi? Mmeangalia call records zake na hamkuona hiyo Simu aliyopigiwa? Tuanzie hapo kwanza ndiyo m-confirm kwamba ni taarifa za Uongo maane GESHI letu aliaminiki.
Hiyo simu Ilikua recorded ?
 
Nimeona jana kwenye habari.
Aisee, Inabidi Mpina akamsaidie huyu binti
 
Huyu afungwe kabisa, kama miala ya kumfunga isipotosha, wamfunge kamba
 
Ipo mahakamani

Ulitaka azushe halafu aachwe tu
naona serikali sasaivi imejipanga vizuri kuajiri machawa kibao kuwatetea mitandaoni. hili lilitakiwa lifanyike kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…