Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Rejao...................huu utafiti uliufanya lini.....................sijawahi kusikia kitu kama hiki maishani mwangu naanza leo............
Hii mbona kawaida sana? Mpaka hii thread ifike mwisho utakuwa umeshapata findings na kukonkludi nilichokuambia. Michael Scofield keshalikubali na analitambua hili!
 
Last edited by a moderator:
Ruta..Kati ya vitu ambavyo wanaume wengi tunashindwa kuvijali ni chupi na soksi.....
Utakuta mwanaume ana chupi moja tu na soksi pea moja, sasa bora chupi ni siri ya ndani, utakoma akivua viatu....lol!
Wanaume wanahitaji somo sana kuhusu hivi vitu.

ni kweli Michael Scofield.....................soksi na vyupi ni maeneo ambayo tunahitaji kuyavalia njuga na kujirekebisha
 
Last edited by a moderator:
Hii mbona kawaida sana? Mpaka hii thread ifike mwisho utakuwa umeshapata findings na kukonkludi nilichokuambia. Michael Scofield keshalikubali na analitambua hili!

haya subira yavuta kheri............Rejao
 
Last edited by a moderator:
yes!...nasubiri...mbona wangu havaagi...au mvutoless!...lol
Hahahah. BAGAH, labda boxer zako hazina mvuto! Au saa nyingine zimetobokaaa!
 
Last edited by a moderator:
duu kwa hyo ile harufu ndio maneno yake chupi..

ndetichia..........chupi yaongea kama mvaaji ni msafi, kama ana taswira ya kiume au ya kike.............chupi ina kauli nzito usiidharau hata kama mwandani wako anakufumbia macho lakini anaona......................hayo......
 
Last edited by a moderator:
Dingi wewe bado 'unakua' namaanisha still growing down? Si utakuwa chatu Mtambuzi?
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnaangaika na machupi yenu hapa...! Sie huku kwetu umasaini hakuna hiyo kitu kabisa.

[MENTION]Tony Almeida[/MENTION].........Kwa hiyo nyie sasa ni kioja lakini bakhati yenu hamjifuniki kabisa kama siye kwa hiyo upepo husaidia katika kuwapulizia na kupunguza vijidudu kuwashughulikia
 
Mi sivaagi kabisa ndo maana huwa sichomekei shati...... Nimeeleweka?
 
[h=2][/h]
Dingi wewe bado 'unakua' namaanisha still growing down? Si utakuwa chatu Mtambuzi?

King'asti mpashe Mtambuzi maana naona bado anajenga mazingira ya kuteremka chini hadi afike sakafuni.............hajui kuna mipaka ya kukua akiizidi hata mkusudiwa wake atamkimbia........
 
Last edited by a moderator:
Mi sivaagi kabisa ndo maana huwa sichomekei shati...... Nimeeleweka?

Asprin mie navaa boxer lakini sichomekei shati............sasa hii imekaaje?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, usije ukamaliza hii ukaleta mjadala wa za kike! Siku hizi hata kulipia hela tunaona uchungu manake ni sawa na hatuvai kabisa! Kha!

King'asti ya wanawake nawaachia wenyewe nikiwaongelea huja juu sana na kujihami lakini tenzi yenu inakuja ya namna tofauti kidogo siyo chupi......
 
Last edited by a moderator:
Kuna mod alining'ang'ania over the weekend. Kisa uchakachuzi! Nina wasiwasi kama anafahmu boxer ni nini!!

Rejao usikhofu kwani leo atajua tu
 
Last edited by a moderator:
na mie nnaevaa ki mahatma gadhi nahtaj hyo?
 
Achana na michupi ya mirangi bana,go for white halafu ziwe pyua cotton.
Mi bora nivae msuruali wa hovyo lakini ndani ni feel comfortable.

dah! Mkuu kwenye Chupi White hapo inategemea na mazingira unayoishi na sehemu unayofanyia kazi...
Nilishawahi kua na hizo chupi kama piece 30, lakini kwa mazingira ya Dar na nilikua bado denti.. Nilikua natupa moja baada ya nyingine..maana hata kuzianika nje nilikua naona soo... Kitu boxer bana... Ukinunua zile quality nzuri kuanzia elfu 10 na kuendelea utaenjoy... Unazifua vizuri na unazianika nje bila wasiwasi
 
Kuna mod alining'ang'ania over the weekend. Kisa uchakachuzi! Nina wasiwasi kama anafahmu boxer ni nini!!

Rejao mkuu unajua jf itakuwa offline wakati epl inaisha... pole sana ndugu..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…