Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,219
- 4,064
Hii mbona kawaida sana? Mpaka hii thread ifike mwisho utakuwa umeshapata findings na kukonkludi nilichokuambia. Michael Scofield keshalikubali na analitambua hili!Rejao...................huu utafiti uliufanya lini.....................sijawahi kusikia kitu kama hiki maishani mwangu naanza leo............
Last edited by a moderator: