Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #101
Mr Rocky, tena za vitenge huwa nzuri kwa kutokea usiku, na za kanga kwa kwendea beach.
Kongosho marangi yanaficha mengi...........................
Sidhani kama mtu mzima anahitaji rangi fulani ili kuwa msafi.
Usafi ni tabia, hata akivaa nyeupe kama si msafi utamkuta na amazon forest au harufu ya beberu.
Hahaa mkuu, ile ilikua enzi za Sumni, sasa hivi ni enzi za Shilingi natupia vitu hivyo hapo chini kwenye picha
View attachment 53741 View attachment 53742View attachment 53743
hahahahahaha safi sana mkuu
Nimekubali
Kweli umeendelea
Mbili na tatu ziko mwake sana
Nimezikubali
Kweli umeendelea
Je mkuu nazile zimeandikwa TMK nazo zinahusika hapa japo ni Boxer??napita je nimalize swali la mwisho na zile za mtumba lakini ni original Ulaya je nazo zahusika??Yote yayote namalizia nenda Shop za wazungu,Masaki seaclf,Slipway nakwingine kama huko ila kulikobaki utavaa nylon za mchina!!
Omg, SMILE wew una siku za hatari........!!!!mimi sivai kabisa cause hata sijui faida ya chupi ... navaa tu siku za hatari...
Hapa ninakuunga mkono mkuu.Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
Mimi napiga kaptula (msulupwete) kwa sababu alizozitaja Mtambuzi hapo juu.Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.
Mko juu Mkuu! Ya nini kujibanabana?Nyie mnaangaika na machupi yenu hapa...! Sie huku kwetu umasaini hakuna hiyo kitu kabisa.
Mi sivaagi kabisa ndo maana huwa sichomekei shati...... Nimeeleweka?[/
Mimi na mkaptula wangu wa kushona kwa mshoni ninachomekea, tena kwa juu kama Pepe Kale. Nabadilisha upande tu wa kupumzishia "kifurushi".
Hapo ndio maana ninakimbilia kaptula, tena siku za kwenda mjini tu, nikiweko kijijini kwetu ninapiga seruni tu, a.k.a msuli.boxer zinawabana lakini .... Kile kitu huwa kinapumua kweli?
Maelezo niliyotoa juu yanakubaliana na hoja yako.Hahahaaaa acha tu nimegombana na wifi yako hadi basi, haiwezekani hata kidogo mtu avae tight, chupi, sijui na nini tena, si kumaliza sabuni tu jamani? Kwanza upepo ni mzuri kwa afya
Karibu katika CWK (Chama cha Wavaaji Kaptura). Kujiunga bure na bila ada. sharti pekee usiwe msaliti, kesho ukajitia kuva sijui Boksa, Bokse, Boksi, Bokso....KAPTULA OYEEEEEEEEE!Kweli dunia darasa... nimepata somo hapa, ngoja niaachane na haya mambo ya kizungu nikatafute na mimi likaputura niache mjomba ajimwayemwaye LOL
Ruta Mkuu, huwezi kulinganisha uvaaji wa suruali/shati na vyupi. Kuvaa chupi ya kubana ni genital abuse. Siku nikiukwaa uraisi natunga sheria ya kupinga udhalilishaj huu. Fikiria mzee wa watu anafinywa ndani ya chupi mchana kutwa (wengine tuna Claustrophobia), halafu akitaka kunaniliu anavishwa ndom (another suffocation), na huko anakoingia another dark site. Hapana bana!, angalau yawe haya mawili ya mwisho tu kwa sababu ni suala la dharura na kwa muda mfupi.Manyanza uume hauwezi kupunguzwa na saizi ya nguo unayovaa....................ingekuwa hivyo basi shemu zote za miili yetu zingelipungua kwa sababu ya nguo tunazovaa.............
Halafu kama utaangalia, sisi watu wa pwani na wa kule nyanda za juu na kwengine kote ambako hivyo vyupi na boksers havitakiwi, kimguu cha tatu kinapata wasaa wa kukua bila kifinywafinywa. Wewe angalia tu mmea unaokulia kivulini, ijapokuwa utakuwa kwa kufuatia mwanga, lakini hauwi na afya nzuri. Kaptula Orijino Oyeeeee!
I agree with you, white boxer inaonyesha usafi and that kafurushi kwa mbele makes me laugh with no reason..ha ha ha
Ruta Mkuu, huwezi kulinganisha uvaaji wa suruali/shati na vyupi. Kuvaa chupi ya kubana ni genital abuse. Siku nikiukwaa uraisi natunga sheria ya kupinga udhalilishaj huu. Fikiria mzee wa watu anafinywa ndani ya chupi mchana kutwa (wengine tuna Claustrophobia), halafu akitaka kunaniliu anavishwa ndom (another suffocation), na huko anakoingia another dark site. Hapana bana!, angalau yawe haya mawili ya mwisho tu kwa sababu ni suala la dharura na kwa muda mfupi.
Halafu kama utaangalia, sisi watu wa pwani na wa kule nyanda za juu na kwengine kote ambako hivyo vyupi na boksers havitakiwi, kimguu cha tatu kinapata wasaa wa kukua bila kifinywafinywa. Wewe angalia tu mmea unaokulia kivulini, ijapokuwa utakuwa kwa kufuatia mwanga, lakini hauwi na afya nzuri. Kaptula Orijino Oyeeeee!
Ruta mbona wewe ukivaa kanzu na msuli huvai boxer unavaa ile ninihii sijui unaitaje vile?