Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

asante, ukikutana na mtu kavaa nyeupe day one.
Ujue kavaa nguo ya ubarikio huwa hafui huyo.

Coloured, safi mpango mzima.

Kongosho marangi yanaficha mengi...........................
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeacha kuvaa zile boxer zako za kushona pale mwenge
Yeah "Boxer for Real Men"

Hahaa mkuu, ile ilikua enzi za Sumni, sasa hivi ni enzi za Shilingi natupia vitu hivyo hapo chini kwenye picha
ai_791_huge.jpg Boxer-Shorts.jpgsavile-row-blue-check-cotton-boxer-shorts.jpg
 
Sidhani kama mtu mzima anahitaji rangi fulani ili kuwa msafi.

Usafi ni tabia, hata akivaa nyeupe kama si msafi utamkuta na amazon forest au harufu ya beberu.

Kongosho marangi yanaficha mengi...........................
 
Sidhani kama mtu mzima anahitaji rangi fulani ili kuwa msafi.

Usafi ni tabia, hata akivaa nyeupe kama si msafi utamkuta na amazon forest au harufu ya beberu.

Kongosho............marangirangi ni yake ambayo yanaficha uchafu..........zipo zenye rangi za mistari na mbazo uchafu hujionyesha hizo swafiii hazina mizengwe.....................ni kweli usafi ni mtu siyo mavazi yake.........
 
Last edited by a moderator:
ujue mie ni designer, huwa napiga zote kutegemeana na kuandama kwa mwezi.

Wakati mwingine nafunga kamba tu, ila mkwinto marfuku.

Kongosho...................by the way wewe ni brief au boxer au patupu?
 
Last edited by a moderator:
hahahahah..yaani nimcheka mpaka basi, haya we endelea na likaptula lako ulilolizoea! no comment

Sashel.......usimcheke mpe ushauri kwa kumwonyesha wewe ungelipenda awaje...............mpe elimu na [MENTION]Mtambuzi [/MENTION]ataelimika.............
 
Last edited by a moderator:
Je mkuu nazile zimeandikwa TMK nazo zinahusika hapa japo ni Boxer??napita je nimalize swali la mwisho na zile za mtumba lakini ni original Ulaya je nazo zahusika??Yote yayote namalizia nenda Shop za wazungu,Masaki seaclf,Slipway nakwingine kama huko ila kulikobaki utavaa nylon za mchina!!

KakaKiiza..........................yote tisa lakini kumi kamwe usivae mtumba wa aina yoyote ile...............ni kheri uwe na nguo chache lakini siyo mtumba.lHizo TMK ni boxers!
 
Last edited by a moderator:
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
Hapa ninakuunga mkono mkuu.

Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.
Mimi napiga kaptula (msulupwete) kwa sababu alizozitaja Mtambuzi hapo juu.

Nyie mnaangaika na machupi yenu hapa...! Sie huku kwetu umasaini hakuna hiyo kitu kabisa.
Mko juu Mkuu! Ya nini kujibanabana?

Mi sivaagi kabisa ndo maana huwa sichomekei shati...... Nimeeleweka?[/
Mimi na mkaptula wangu wa kushona kwa mshoni ninachomekea, tena kwa juu kama Pepe Kale. Nabadilisha upande tu wa kupumzishia "kifurushi".

boxer zinawabana lakini .... Kile kitu huwa kinapumua kweli?
Hapo ndio maana ninakimbilia kaptula, tena siku za kwenda mjini tu, nikiweko kijijini kwetu ninapiga seruni tu, a.k.a msuli.

Hahahaaaa acha tu nimegombana na wifi yako hadi basi, haiwezekani hata kidogo mtu avae tight, chupi, sijui na nini tena, si kumaliza sabuni tu jamani? Kwanza upepo ni mzuri kwa afya
Maelezo niliyotoa juu yanakubaliana na hoja yako.

Kweli dunia darasa... nimepata somo hapa, ngoja niaachane na haya mambo ya kizungu nikatafute na mimi likaputura niache mjomba ajimwayemwaye LOL
Karibu katika CWK (Chama cha Wavaaji Kaptura). Kujiunga bure na bila ada. sharti pekee usiwe msaliti, kesho ukajitia kuva sijui Boksa, Bokse, Boksi, Bokso....KAPTULA OYEEEEEEEEE!

Manyanza uume hauwezi kupunguzwa na saizi ya nguo unayovaa....................ingekuwa hivyo basi shemu zote za miili yetu zingelipungua kwa sababu ya nguo tunazovaa.............
Ruta Mkuu, huwezi kulinganisha uvaaji wa suruali/shati na vyupi. Kuvaa chupi ya kubana ni genital abuse. Siku nikiukwaa uraisi natunga sheria ya kupinga udhalilishaj huu. Fikiria mzee wa watu anafinywa ndani ya chupi mchana kutwa (wengine tuna Claustrophobia), halafu akitaka kunaniliu anavishwa ndom (another suffocation), na huko anakoingia another dark site. Hapana bana!, angalau yawe haya mawili ya mwisho tu kwa sababu ni suala la dharura na kwa muda mfupi.

Halafu kama utaangalia, sisi watu wa pwani na wa kule nyanda za juu na kwengine kote ambako hivyo vyupi na boksers havitakiwi, kimguu cha tatu kinapata wasaa wa kukua bila kifinywafinywa. Wewe angalia tu mmea unaokulia kivulini, ijapokuwa utakuwa kwa kufuatia mwanga, lakini hauwi na afya nzuri. Kaptula Orijino Oyeeeee!
 
I agree with you, white boxer inaonyesha usafi and that kafurushi kwa mbele makes me laugh with no reason..ha ha ha

[MENTION]Sashel [/MENTION]hasa ukijua kale kafurushi umeumbiw kwa matumizi yako binafsi lazima usikie maraha, vile..........
 
Ruta Mkuu, huwezi kulinganisha uvaaji wa suruali/shati na vyupi. Kuvaa chupi ya kubana ni genital abuse. Siku nikiukwaa uraisi natunga sheria ya kupinga udhalilishaj huu. Fikiria mzee wa watu anafinywa ndani ya chupi mchana kutwa (wengine tuna Claustrophobia), halafu akitaka kunaniliu anavishwa ndom (another suffocation), na huko anakoingia another dark site. Hapana bana!, angalau yawe haya mawili ya mwisho tu kwa sababu ni suala la dharura na kwa muda mfupi.

Halafu kama utaangalia, sisi watu wa pwani na wa kule nyanda za juu na kwengine kote ambako hivyo vyupi na boksers havitakiwi, kimguu cha tatu kinapata wasaa wa kukua bila kifinywafinywa. Wewe angalia tu mmea unaokulia kivulini, ijapokuwa utakuwa kwa kufuatia mwanga, lakini hauwi na afya nzuri. Kaptula Orijino Oyeeeee!

MAMMAMIA.......kweli ipo kazi kanzu nayo inaficha mwanga na mwili wa mwanadamu hahuhitaji mwanga kukua........Kaptula nayo ni boxer tu haian shida ila iwe laini si unajuwa ya kuwa babu hapendi mikwarauzo ile ya kaptula ya khaki?
 
Last edited by a moderator:
Ruta mbona wewe ukivaa kanzu na msuli huvai boxer unavaa ile ninihii sijui unaitaje vile?

arabianfalcon...............................mbona wanitisha hivyo? Au hata gobole langu sasa walijua..........................mie kanzu marufuku labda nikienda kijijini bukoba lakini hata kule boxer lazima niwe nimejitundika nayo..................AM a real man, u know that.............
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom