Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

no, pavaa pens kubwa tu isiyonibana ili kitu yangu ijinafasi. ila iwe cotton 100%.

zimwimtu.........kwenye kufuli yeye kajinafasi na iwe cotton tuko sote hapo.............
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma nimeupata ujumbe
Asante sana kwa ujumbe mzuri

Mr Rocky mambo yote ni boxer tayari kuteremsha makonde uwanjani bila ya zengwe..................
 
Last edited by a moderator:
boxer zinawabana lakini .... Kile kitu huwa kinapumua kweli?

we Smile vipi kwani kimeumbwa kupumulia ndani ya boxer au ndani ya nyumba yake ambayo ni chapa mtujike tu.........???
 
Last edited by a moderator:
hahaaaaaa.....mkuu kuna siku tutakuvika nishani kwa umahiri wa mambo haya ya mashairi na tenzi za rohoni

Kigogo kabla hujanivimbisha kichwa hebu tuelezee humu ndani ya jamvi.......wewe ni boxer au brief?
 
Last edited by a moderator:
afadhali leo umekuja kivingine rutashubanyuma kwani TASNIA YA MAPENZI inakupiga chini sana kijana,boxer ipo poa hata mi navaanga kwana inanifaya niwe freeeeeeeeee!!

ummu kulthum..................................nimefurahi kwenye hili la boxer tuko pamoja................mapenzi ni kizungumkuti kwa hiy ukidhani umepata mara nyingi imekula kwako.........................ukidhani umeliwa mara nyingi umekula kilichonona........
 
Last edited by a moderator:
MAMMAMIA.......kweli ipo kazi kanzu nayo inaficha mwanga na mwili wa mwanadamu hahuhitaji mwanga kukua........1.Kaptula nayo ni boxer tu haian shida ila 2.iwe laini si unajuwa ya kuwa babu hapendi mikwarauzo ile ya kaptula ya khaki?
Sikujua hilo la kwenye mkozesho, kumbe kaptula ni boxer, mambo ya kidhungu - lol! Hiyo mbili ni muhimu sana, hahitaji wala hapaswi kukwaruzwa na kufinyefinywa.
 
clean hard colored Boxers are a huge turn on to some of us.....anayevaa boxers ni real man

[MENTION]JS[/MENTION] kama unayosema ni kweli basi ninunulie pea mbili siku moja nikuvalie................
 
hilo nalo neno mkuu, ngoja week end nikatafute kama tano hivi

lakini Manyanza uwe mwangalifu kwa sababu [MENTION]JS[/MENTION] anasema ya kuwa yeye hupendelea marangirangi ndiyo humchemsha damu.......................maybe knowing the tastes of ur gal is the best way out here...........
 
Last edited by a moderator:


hahahaaaaaaa LOL
 
Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..

Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi
 

heheheeee ama kweli jungu kuu halikosi ukoko, mtambuzi wewe ndio umetambua siri ya kuachia maumbile yakue na kujipanua kwa nafasi tena yakipata hewa safi huwa na nguvu sana hayahitaji kuboost ukigusa ni moto mara moja, waulizeni wazee wa pwani wakitoka matembezini jioni lazima atinge msuli wake, vimbwanga vyote huruuu anakusanya nguvu ya shughuli ya kitanda!
 
Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..

Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi

hivi unatufanya sie bongo ni tuko nyuma sana kiasi cha kutokujua kutambua vitu vidogodogo kama hivyo? afterall wanaopaswa kuvijua ni nyie wanaume mnaovaa sie tuna vyetu tunavijua kwa majina. acha dhana ya kizamani kwamba aliye nje ya nchi ndio kaendelea kuliko wa hapa TZ hayo ni mawazo ya kizamani kweli enzi za nyerere wkt kwenda nje ya mipaka ilikuwa deal, siku hizi deal ni kuishi bongo ukiwa na mkwanja mrefu mfukoni, dunia yote utaiweka mkononi!!
 
gOOD ONE RUTA

NI KWELI CHUPI HUONGEA, HUSEMA YOTE NA PIA HUTUSEMA

TIMING.......ni vyema tukakiri hili kwa vitendo pia...............
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..

Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi

Okada usinichekeshe..........................Mugabe alitusaidia kwenye hilo pale aliposema a gentleman has no weather............kwa hiyo be in boxer all the time the vagaries of weather notwithstanding, at all.................
 
Last edited by a moderator:
chui chui rangi, me like it very much

marrykate yaelekea you like being scratched with someone with very deep..............very deep..............soft nail...........chui ndivyo afanyavyo..........LOL
 
Last edited by a moderator:

Nimeupenda uzi wako huu na like nimekupa
 
chui chui rangi, me like it very much
marrykate yaelekea you like being scratched with someone with very deep..............very deep..............soft nail...........chui ndivyo afanyavyo..........LOL
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…