Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
afadhali leo umekuja kivingine rutashubanyuma kwani TASNIA YA MAPENZI inakupiga chini sana kijana,boxer ipo poa hata mi navaanga kwana inanifaya niwe freeeeeeeeee!!
Sikujua hilo la kwenye mkozesho, kumbe kaptula ni boxer, mambo ya kidhungu - lol! Hiyo mbili ni muhimu sana, hahitaji wala hapaswi kukwaruzwa na kufinyefinywa.MAMMAMIA.......kweli ipo kazi kanzu nayo inaficha mwanga na mwili wa mwanadamu hahuhitaji mwanga kukua........1.Kaptula nayo ni boxer tu haian shida ila 2.iwe laini si unajuwa ya kuwa babu hapendi mikwarauzo ile ya kaptula ya khaki?
clean hard colored Boxers are a huge turn on to some of us.....anayevaa boxers ni real man
hilo nalo neno mkuu, ngoja week end nikatafute kama tano hivi
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL

Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..
Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi

hivi unatufanya sie bongo ni tuko nyuma sana kiasi cha kutokujua kutambua vitu vidogodogo kama hivyo? afterall wanaopaswa kuvijua ni nyie wanaume mnaovaa sie tuna vyetu tunavijua kwa majina. acha dhana ya kizamani kwamba aliye nje ya nchi ndio kaendelea kuliko wa hapa TZ hayo ni mawazo ya kizamani kweli enzi za nyerere wkt kwenda nje ya mipaka ilikuwa deal, siku hizi deal ni kuishi bongo ukiwa na mkwanja mrefu mfukoni, dunia yote utaiweka mkononi!!