Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..
Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL
Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.
Mi nimependa ile ya babu Mtambuzi. Hizo chupi zinasaidia nini. Ukifika kwenye shughuli kazi ni moja mambo ya kuchambua chupi ya mwenzio laana.
[MENTION]
Rutashubanyuma Ha ha haaa ila Chupi sio Boxer...........Albedo................bukta ni boxer hiyo............................
go east go west, kama huwezi kazi huwezi tu, utavaa boxer za kila aina.....