Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

Mkuu wewe sikuwezi.
Mimi nina zote, na wakati wa Summer siwezi kuvaa brief, kwa maana nitakosa hewa
Boxer navaa zaidi wakati wa summer..

Sasa tukija bongo.....mmmh sijui kama wakina dada wengi wanajua ipi ni ipi

Hapo kwa red: binafsi nimegundua kuwa watz wengi waishio ng'ambo wanakaa muda mrefu sana huko bila kwenda home angalau kusalimia, ndo maana wengi wanakuwa hawajui kasi ya mabadiliko ya kimaisha ktk nchi yetu. Utakuta bado wana mawazo kama ya huyu Okada kuwa kitu fulani bongo hukipati, kumbe vitu kibao tu vya ulaya vipo bongo.
 
Mama,dada,bibi,shangazi,mke,mchumba.......wote wavae chupi na wewe wa kiume pia uvae chupi?mtatofautiana na nini kitu boxer bhana
 
Duh... Hii imeniepuka, maana mie navaa Likaputula badala ya chupi................
Kwani mlikuwa hamjui kwamba chupi husababisha maumbile kuwa KIBAMIA, nani anataka kero hiyo..... Mie najivalia Likaputula langu ili maumbile yangu yajimwae-mwae kwa ustawi wa kukua kwa unene na kimo...................LOL

mtambuzi i can imagine if that is the case utakuwa na bilinganya badala ya kibamia. mmhe nianze kumvesha mzee ili hadi nimalize maternity niikue imekuwa tango kabisa.................... si unajua nina likizo ya kulea???????
 
VIP, TMK, WANAUME FAMILY, GUCCI, NIKE, ADIDAS kasheshe ni hapo kwenye uchafu tu wa wakaka walio wengi. manake hata ikiwa nzuri na ya gharama kama ni mchafu inakidusu siyo nzuri tena.
 
Lol! jamani ila tuseme kweli mwanaume akivaa brief halafu ukute mali zake zimejikusanya vizuri, hajasimamisha huwa inapendeza sana, tena huwa inapagawisha sana wakati wmajamboooz kuliko boxer. jaribuni muone
 
Mi nimependa ile ya babu Mtambuzi. Hizo chupi zinasaidia nini. Ukifika kwenye shughuli kazi ni moja mambo ya kuchambua chupi ya mwenzio laana.
 
Du! mkuu sikuwezi!
Mie pia navaa msuri mwanzo mwisho, sie wakazi wa visiwa vya ngazija hatuna makuu.
Vyupi tumewaachia nyie wa kutoka bara.


Na mitandao unasomea huko huko Ngazija? Maana hakuna ofisi unaingia na msuri...unaweza kuleta machafuko ya hali ya hewa,lol..
 
Ooh...oooh!!Kumbe leo nimevaa kijinsi!Ngoja ninunue "boxer" nijaribu, ikinizingua narejea kwa bukta yangu.
 
Thread nzuri sana...usafi ni kitu muhimu sana.
 
Sikumbuki Mara ya Mwisho kuvaa chupi ilikuwa lini. Mimi zangu bukta vitu vinapata hewa saaaaafi
 
hehehe ata sijui kwa kweli

wahida sema ukweli hakuna mwanaumme ambaye aliwahi kukugusa na ukaona alichovaa kama ni boxer au brief?
 
Last edited by a moderator:
Sikumbuki Mara ya Mwisho kuvaa chupi ilikuwa lini. Mimi zangu bukta vitu vinapata hewa saaaaafi

Albedo................bukta ni boxer hiyo............................
 
Last edited by a moderator:
quote_icon.png
By Caroline Danzi

Mi nimependa ile ya babu Mtambuzi. Hizo chupi zinasaidia nini. Ukifika kwenye shughuli kazi ni moja mambo ya kuchambua chupi ya mwenzio laana.
[MENTION]
Caroline Danzi[/MENTION]..............kweli kupenda chongo kuita kengeza......................leo umenithibitishia bila ya zengwe hata chembe......
 
mmenikumbusha chupi yangu aina ya VIP nilikuwa naikubali tatizo ilikuwa zinakatka ghafla na kupanda tumboni
 
go east go west, kama huwezi kazi huwezi tu, utavaa boxer za kila aina.....

javascript.................kazi utaiweza kwanini ushindwe.......................lakini put on a boxer to show you are a real man..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom