Pengine hujui lakini chupi ya mwanaumme nayo huongea!

mmenikumbusha chupi yangu aina ya VIP nilikuwa naikubali tatizo ilikuwa zinakatka ghafla na kupanda tumboni


Mkuu Kipindi hicho mimi peke yangu ndiye nilikuwa Namiliki Chupi aina ya VIP na Mtaa Mzima walikuwa wanafahamu. Sasa Masharobaro wakitaka kwenda Kumega Videmu vyao walikuwa wanakuja Kuazima Chupi, nilikuwa siwanyimi Masela wangu. Nilikuwa nikienda kucheza Mpira nilikuwa navua bukta nabaki na VIP yangu. Ha ha haaaaaaaaaaa
 
mmenikumbusha chupi yangu aina ya VIP nilikuwa naikubali tatizo ilikuwa zinakatka ghafla na kupanda tumboni

Muangila ni boxer hiyo lakini?
 
Last edited by a moderator:

we Albedo ni kiboko yao........................yaani chupi unaweza kumwazimisha mtu na bado ukaivaa.........???????
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma Ha ha haaa ila Chupi sio Boxer...........

Albedo............nguo ya ndani inayoshika mavituzi hiyo ndiyo kufuli yako au chupi hata kama ni kaputula.......................
 
Last edited by a moderator:
we Albedo ni kiboko yao........................yaani chupi unaweza kumwazimisha mtu na bado ukaivaa.........???????
Rutashubanyuma Mkuu Miaka hiyo Chupi ilikuwa kitu adimu sana na tulikuwa tunavaa watoto wa Kota tu ha ha ha, na tulikuwa tunaonekana Watoto wa Kishuuuuua
 
Last edited by a moderator:
Ndo hapo sasa..ukikuta ina matundu yasiyoweza kuzibika?

Ndahani hapo ndipo babu anapoanza kuchunguliachungulia............na aibu kuwa ya mvaaji pekee yake!
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma Mkuu Miaka hiyo Chupi ilikuwa kitu adimu sana na tulikuwa tunavaa watoto wa Kota tu ha ha ha, na tulikuwa tunaonekana Watoto wa Kishuuuuua

Albedo kwa mazingira hayo basi inamaanisha ya kuwa mlikuwa mkiwadu kwa hizo VIP..........ili angalau wazione kwani wamechoka kusimuliwa............
 
Last edited by a moderator:
heeheehe ,makubwa tatitzo na nikisema hakuna hutoamani ,

[MENTION]wahida [/MENTION]siku ambayo unataka kuona boxer from a real man.....I hope you can count on me...............
 
Ila All in All Mchezeee Mpenzi wakooo akiwa amevaa Chupi akilowa vya Kutosha Mvue Chupi Ivae kama Kofia lala nayo hakika Utaongeza Umri wako wa Kuishi kwa Mwaka mmoja zaidi:rant:
 
Dah..mkuu itabidi nami nikuige..coz nilikuwa sijui kama chupi inapunguza maumbile....
 
Kuna maendeleo makubwa sana kwenye ulimwengu wa chupi,hasa zile za kina dada,zamani ilikuwa ukitaka kuona makalio basi ni lazima ufunue chupi, lakini siku hizi ukitaka kuona chupi lazima utawanye makalio.
 
 
hivi zile zina kama ki pockek kwa mbele zinaitwaje, mwanaume akivaa automatically sehemu zake zinaingia mle, halafu inambana bana kidogo kwenye makalio,
 


Hapo kwenye bold mtambuzi, umefanyia research?
 
Wote tunajua ni kitu muhimu, ila siyo lazima uvae hizo boxer ndiyo uonekane msafi. Kabla ya boxer you recommended VIP as the best. Wanaume na msimame msema ukweli, NANI hakuvaa VIP?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…