Albedo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,558
- 1,456
mmenikumbusha chupi yangu aina ya VIP nilikuwa naikubali tatizo ilikuwa zinakatka ghafla na kupanda tumboni
Mkuu Kipindi hicho mimi peke yangu ndiye nilikuwa Namiliki Chupi aina ya VIP na Mtaa Mzima walikuwa wanafahamu. Sasa Masharobaro wakitaka kwenda Kumega Videmu vyao walikuwa wanakuja Kuazima Chupi, nilikuwa siwanyimi Masela wangu. Nilikuwa nikienda kucheza Mpira nilikuwa navua bukta nabaki na VIP yangu. Ha ha haaaaaaaaaaa