MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ni hivi, upwiru unavyozidi mtu una hangaika hangaika, nimekutana na m-shangazi mmoja hivi, sasa hapa na pale tukaelewana tukaweka miili yetu kitandani
Siyo kesi, nikawa nasubiri ile sehemu ya pili, invoice, nilistaajaabishwa hakukuwa na invoice wala nini, nikasema labda kwasababu ya show ya kibabe labda imefidiia
Nakwambieni, leo ni wiki ya pili, hakuna invoice yoyote na mzigo naendelea kupewa, nimestaajabishwa sana, pengine ni malaika kutoka mbinguni au na-setiwa niingie kwenye mfumo vizuri
Bado nastaajabu