Pengine; nimekutana na malaika kutoka mbinguni

Ameshaona fursa hapo. Na fursa yenyewe ni wewe
 
Moja ya vitu vinavyoangamiza watu hasa vijana ni kulazimisha kuonekana unique.

Sasa Malaika wa mbinguni aje afanye zinaa na wewe..! Kijana huoni kwamba umefika level za juu sana katika kumtukana THE SUPER NATURAL POWER

Acheni kufuru vijana mtakuja kujuta majuto yasiyo na faida
 
Endelea kusukuma tope
 
Soma between lines kijana, nimeanza na neno Pengine, halina maana yoyote kwako?

Kichwa siyo kwaajili ya kufugia nywele
 
unasetiwa ujae
 
Tupo hapa tunasubiri uzi wa mrejesho.. hivi wanasemaga yatakutokea puani eeh?
 
Maybe invoice inaweza soma siku ambayo ushaingia kwny mfumo. Cheza kwa step, wana akili saana wengine mbaka unabaki unajishangaa "eeeh imekuaje tenaa" ndo vile ushajichanganya. Kula mema hayo kwa adabu sana
 
Asante sana Mkuu kwa wazo erevu
 
Mwanamke ukishampa 'title' ya mshangazi, maana yake anakuzidi umri, mkubwa kwako kwa makamo sasa anakulea huyo.

Unadhani kulelewa inamaanisha kukalishwa miguuni pekee?

Kulelewa ni kutunzwa na kupewa huduma za bure bure bila malipo.
 
umepanua tafsiri ya kulelewa, ngoja tuone
 
Soma between lines kijana, nimeanza na neno Pengine, halina maana yoyote kwako?

Kichwa siyo kwaajili ya kufugia nywele
Nimekutahadharisha tu kama utaamua kushupaza shingo tena ni wewe mwenyewe na roho yako mimi sihusiki

Neno pengine haliondoi wala halibadilishi chochote katika matusi yako dhidi ya viumbe watakatifu
 
Hivi malaika ni mwanaume au ni mwanamke,pia hapo labda ungesema umekutana na malaika walioasi yani shetani na mawakala zake ila wa kutoka mbinguni hawana mambo hayo mnayoyafanya...
Mwanamke asiyeomba omba ni sifa nzuri, sifa nzuri hawapewi mapepo na mashetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…