Kiongozi wa kanisa katoliki nchini amesema elimu isiwe bidha. Aliyasema hayp wakati akizindua mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Marian.
Source ITV habari saa mbili usiku leo.
Wakatoliki wayaweke hayo katika vitendo kwa kupunguza ada katika shule zake ikieemo marian boys na girls . Kwa sasa ada zao zipo juu kana kwamba wanafanya biashara badala ya huduma.
Nini mtazamo wako?
Kusema kweli ukichukua shule private Marian wanajitahidi sana, ufaulu ni wa hali ya juu na ada si kubwa sanaa,ukilinganisha na shule zingine private kama Feza,Barbro J,MariaGoreth nk
inasikitisha ukiwa huna uwezo kifedha huwezi kusoma hapo hata kama unajiweza kiakili,maybe kuwepo na scholarships kuwasaidia wanafunzi wa aina hyo