Pengo: Elimu isiwe bidhaa ya biashara

Pengo: Elimu isiwe bidhaa ya biashara

FreedomTZ

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
1,104
Reaction score
251
Kiongozi wa kanisa katoliki nchini amesema elimu isiwe bidha. Aliyasema hayp wakati akizindua mpango wa kuanzisha chuo kikuu cha Marian.

Source ITV habari saa mbili usiku leo.

Wakatoliki wayaweke hayo katika vitendo kwa kupunguza ada katika shule zake ikieemo marian boys na girls . Kwa sasa ada zao zipo juu kana kwamba wanafanya biashara badala ya huduma.

Nini mtazamo wako?
 
Wacha kabisa; Hapo Marian walimu karibu wote wana Masters na Degree, Maabara full equiped, Chakula ni kizuri, Elimu ya Kiwango cha hali juu...

Hivi unategemea utalipa ada kiasi gani.....?
 
Ni kweli kuna walimu wenye masters na wanaolipwa vizuri ili kuleta matokeo bora. Sijui kiasi halisi cha ada wanacholipa wazazi kama ada. Wapo wanaosema milioni mbili kwa mwaka na wengine watakwambia milioni tatu. Je watoto wa masikini ambao wanalipa zaka na michango ya kanisa wananufaika na shule hizo? Je watoto wa masikini wengine ambao si wakatoliki wenye uwezo kiakili lakini ni masikini watasoma ktk shule hizo?

Kama hawafanyi biashara kwa nini wasipunguze ada? Kiasi kingine cha gharama za kuendesha shule kitokane na fedha za kanisa ambazo ni zaka na michango ya wakristo?
 
Kusema kweli ukichukua shule private Marian wanajitahidi sana, ufaulu ni wa hali ya juu na ada si kubwa sanaa,ukilinganisha na shule zingine private kama Feza,Barbro J,MariaGoreth nk
inasikitisha ukiwa huna uwezo kifedha huwezi kusoma hapo hata kama unajiweza kiakili,maybe kuwepo na scholarships kuwasaidia wanafunzi wa aina hyo
 
Nakubaliana na wewe shule hizi ziwe zinatoa scholarship kusaidia watoto wa maskini wenye uwezo darasani. Kwa upande mwingine serikali itoe ruzuku kwa shule binafsi ili ada ishuke kuliko ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom