Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Angekuwa na kiti mbinguni pembeni mwa Mungu ingekuwa sawa, Roma kama Dar tu sema yenyewe imejengwa kwa ustadi


Kama wewe siyo Mkatoliki hapo uko sawa, lkn kwa Wakatoliki ana nafasi ya kipekee kwa Mungu kwani kati ya Binadamu bilioni 1.23 Mungu kamteua yeye, huyo siyo upekee?
 
Unataka alihamishie kanisa lote ufipa?
 
HATARI SANA! Hata akiwazini wake na watoto wa waumini wake!!! Hata akila sadaka na kulihujumu kanisa!!! Hata... hata... hata...
Acheni tuijenge nchi
Aleee aziniiiiiiiiii chukuaa somo hili kuwa kwa mungu hakuna democrasia huwezi fanyiwa kile ambacho wwe unakipenda zaidi
 
Nashauri uongozi wa jamiiforum ulete mfumo mpya kwa wanaojiunga na huu mtandao.....angalau kuwe na vi IQ test vitakavyochuja wenye below average score
 
Nashauri uongozi wa jamiiforum ulete mfumo mpya kwa wanaojiunga na huu mtandao.....angalau kuwe na vi IQ test vitakavyochuja wenye below average score
Naomba kupinga hii hoja Mkuu, tutaondokewa na celebrities humu na hakika patapooza!
 
Huwa hampendi kuambiwa ukweli.....
Mbna hamkumkosoa GWAJIMA kipindi kile yupo upande wenu....
Askofu PENGO yupo sahihi maana kaona mtu sahihi
Kama ambavyo Mbowe anavyosifia mazuri ya MAGUFULI....mbna hausemi ana kiharibu chadema?
1.Pole maana ww ndio huujui ukweli,Pengo anamsema askofu mwenzie kwamba siyo msemaji wa kanisa na kwamba yale ni mawazo yake binafsi na yeye anasahau kwa wakati huo huo kwamba pale alipo siyo msemaji wa kanisa na wala hajatumwa na kanisa,alipaswa kutohukumu maana makosa anayo muhukumu mwenzie naye yy ndio hayo kayarudia, na kwamba alipaswa kusema wazi kuwa kile anachokisema yy pia ni mawazo yake binafsi kwani bado hana hadhi ya kuwa msemaji wa kanisa katoliki tanzania.

2.Pengo anatumia vibaya ujinga/kutokujua kwa watanzania walio wengi ya kwamba yeye siyo mkuu wa kanisa katoliki tanzania na wala hana nafasi yoyote katika kanisa la tanzania zaidi ya kanisa katoliki jimbo la dar es salaam,yeye anapata sifa ya kuwa msemaji wa jimbo katoliki dar es salaam pekee ikibidi na siyo tanzania sawa na Niwemugizi kwa jimbo lake.

Na pia yeye siyo muwakilishi wa papa tanzania,papa anawakilishwa na balozi wake ambaye hutumwa kwa vipindi tofauti.
Hivyo asitufanye wajinga kutaka kuharibu kanisa kwa mitazamo yake akitaka ndio iwe mitazamo ya kanisa zima la tanzania, bado hajafikia hadhi hiyo.

Mkuu wa kanisa katoliki tanzania ni raisi wa balaza la maaskofu (TEC) huyo pekee ndio mwenye hadhi ya kuzungumza kwa niaba ya kanisa la tanzania na kauli yake ikawa kauli ya kanisa au ya maaskofu.

Hivyo kafanya makosa kumshambulia askofu mwenziekwamba kafanya makosa wakati akijua yeye pia anafanya makosa hayo hayo na hiyo ni hulka yenye unafiki,labda atuambie anatetea maslahi ya kundi fulani na si ya kanisa katoliki.
 
Kwa Wakatoliki Kardinali ni mtumishi wa Mungu, anateuliwa na Mungu baada ya kushukiwa na roho Mtakatifu hivyo sauti yake ni Sauti ya Mungu kwa Wakatoliki!

MKUU NAKUHESHIMU ILA HAPO UMEKOSEA,
PADRI AU ASKOFU HUWA SAUTI YA YESU, MUNGU MWANA AWAPO MBELE YA ALUTALE TU HUKO KWENGINE NI YEYE NA NAFSI YAKE.

SORRY KWA KUKUKOSO NDIO IMANI KATOLIKI
 
Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Kwa cheo chake HIS EMINENCE Polycarp Cardinal Pengo (prospective Holy Father or Pope) ni raia wa VATICAN Kwa sheria za Tanzania anapaswa kuukana uraia wa Tanzania (kama bado hajaukana) mpaka Leo.
 
Ni swala la mtazamo tu, kwako ni kauli ya ukakasi kwa wengine ni kauli ya Mungu kwani Kardinali ni mtumishi wa Mungu ambaye ameteuliwa na Mungu kuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki hivyo sauti yake ni sauti ya Mungu kwa wafuasi wa Kanisa Katoliki!
Mungu hawezi kufanya uteuzi wa kitumbafu hivo.
 

Mkuu umenikumbusha TanzaGiza.Alikuwa anamalizia swali la kizushi Bashite anampa nini Mkulu.Ila nimependa ulivyojenga hoja Hekoo kwako [HASHTAG]#TzYaViwonderHii[/HASHTAG]
 
Siyo swala la ujinga au werevu ni swala la power, kuna Wakatoliki wengi Tanzania ambao hawawezi kuhoji ushauri wa Kardinali wao, kwao ni mtumishi wa Mungu na akisemacho kina baraka za Mungu, hivyo ndivyo ilivyo!

Waumini sawa nafasi ipo ila ndogo sana ya kuhiji, ila baraza la maaskof tanzania wanaweza na wamekuwa wakihoji na huwa wanaoji, kindly review track record, hatushindani mkuu twaelimishana.

kwa kiasi gani wanoji? ndhani kadri waonavyo sawa kulinda heshima ya kanisa na imani ya kanisa

hawawezi kunjana ndo uone wanahoji

kumbuka hayo kasema pengo kwa utashi wake akiwa chumbani kwake
 
Mungu hawezi kufanya uteuzi wa kitumbafu hivo.


Sawa lkn kumbuka Binadamu Bilioni 1.3 Duniani wanaamini hivyo ambayo ni zaidi ya18% ya Binadamu wote, kwa miaka karibia 2000, hivyo sidhani kama wewe unaweza kuwa more intelligent kiasi hicho, kumbuka Western civilization yote ambayo ndiyo Civilization inayotawala Dunia hii leo hii imetokana na Kanisa Katoliki, kuanzia mfumo wa Elimu ambao unatumika Duniani kote, hata mimi na wewe tunaweza kuwasiliana sasa hivi na kubishana bila ya western civilization labda isingewezekana kuwasiliana kama tunavyowasiliana sasa hivi, mfumo wa Kiuchumi ambao ni Capitalistic economic system yote ni western Civilization ambao chimbuko lake ni Kanisa Katoliki, Sheria na mifumo ya Utawala Duniani imetokana na Western Civilization ambao chimbuko lake ni Kanisa Katoliki hivyo kabla haujaiita Upumbavu chukua dakika kadha ufikirie wewe au Dini uliyo nayo imeleta ahueni gani kwa maisha ya binadamu kiasi cha kukupa haki ya kuuita Ukatoliki upumbavu!
 
Msaliti kwako, lkn kwa Wakatoliki ni Mtumishi Mungu na kauli yake ni kauli ya Mungu kwani ana roho Mtakatifu ndani yake!
MUNGU yupi?
Tuanzie hapa kwanza=kwanini watu wanahitaji katiba mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…