Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kuifananisha Tz na UK katika mambo kama hayo nasidhan kama kuna kitu cha kujifananishaPengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Huo mstari ni Mungu mwenyewe aliifanya hiyo review.Mkuu ni 70 ukiwa na nguvu basi 80 mambo ya agano la kale yamefanyiwa review na ujio wa Bwana Yesu
Huko kwenye agano la kale kuna walio ishi miaka 900 je unafikiria inawezekana kwa sasa hivi kuishi miaka 900?
Watu wana matatizo ya akili mkuu yani anachofikiri yeye kwa kuwaza kula ugali na maharage anataka na watu wenye akili na heshima zao wafuate mihemko yao.Pengo ni mtu wa heshima na anajua mipaka yake ya madaraka. Usilazimisha aingie kwenye siasa kama unavyotaka wewe.
Hata na sisi tunamkumbusha akae kimya, utaratibu hausemi kuwa yeye ndio msemaji. Mbona unawashwawashwa wewe?Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
BAK katumia maneno yapi mabaya? Huyo Pengo ashavimbiwa vya kunyonga sasa hivi anatupumilia tu hewa chafu
Halafu huyo ni mwanadamu kama wewe kuwa Kadrinali hakumfanyi awe malaika hivyo akiongea ujinga atakosolewa tu
Kanisa Katoliki linafanya kazi katika mitizamo miwili ya kisiasa ambapo ndani kuna karibu taratibu zote za kiserikali, wapo makatibu wa idara mbalimbali ikiwemo elimu, afaya, chakula n.k, pia mtizamo mwingine ni wa kidini kama unavyojulikana.Pengo anaposema Kipaumbele chake ni kuona wananchi wanapata huduma kwanza na sio katiba mpya, inaashiria Akili yake imeanza kuzeeka vibaya.
Mimi nilitaka kumuuliza tu, kwanini Kanisa katoliki miaka yoyote limekuwa likitenga bajeti kubwa sana kwa ajili ya kuhubiri injili, kuwatunza vizuri Mapadri na Masista, kujenga makanisa makubwa na mazuri kuliko kutenga bajeti kubwa kwa ajili ya kuwanunulia chakula wahanga wote wanaokufa kwa njaa duniani?
Kipaumbele chao ni nini?
Pengo alisisitiza hilo wakati akitoa ufafanuzi juu ya sintofahamu iliyojitokeza miongoni mwa Watanzania na waumini wa kanisa hilo kutokana na kauli ya Askofu Niwemugizi.Pengo ni MNAFIKI sana ,Niwemugizi alitoa maoni yake binafsi wakati wa kongamano lile,kwani kuna sehemu ilinukuliwa ikisema yale ni maoni ya Kanisa Katoliki? Tuache unafiki nimekosa uvumilivu na Baba kadinal Pengo
Hata nami nawashangaa povu jingi kwa vile hafungamani na sera zao, pumbavu kabisa kumfanya mtu aache kufikiri anavyotaka kwa vile tu eti watu flani wanafikiri katika mtizamo mmoja.Kwani lazima Pengo afuate Sera za upinzani ndo mwone anafaa, Shem on you! CHADEMA
Sema kwa mtazamo wako. usitake kufanya mtizamo wako uwe msimamo wa wengi. lazima ukubali kuishi kwa kukubaliana pasipo kukubaliana!Kwa akili yako fupi. Umesikia Watanzania wangapi wanaomponda huyu askofu uchwara na kuona hastahili kuwepo kwenye nafasi hiyo? Inakuwaje waumini wako wanalalamikia maovu nchini na wewe uko kimya kabisa kama vile husikii kinachoendelea.
Hana moral authority ya kuendelea kuwa askofu kwa kumuunga mkono huyo janga la Taifa.
sema kwa mtazamo wako. usitake kufanya mtizamo wako uwe msimamo wa wengi. lazima ukubali kuishi kwa kukubaliana pasipo kukubaliana!
Fujo ni askofu kuropoka ropoka bila consultation.Huyo ndio mkuu wa kanisa Katoliki na ndio keshasema sasanimeamini kweli Pengo ni askofu wa roho. ROHO MTAKAFUJO!!
Jibuni hoja na sio kumtukana mtoa hoja...na ataendelea kuwa janga kwa vilaza na waropokajiPengo ni janga kwa Wakatoliki wa taifa hili... Anna Abdhalah ni janga kwa maendeleo ya WanaKusini..
Kanisa katoliki litawatolea statement wanyonge wote wanaonyanyasika na wote wanaodhurika kinyume na matakwa ya Mungu.Mimi ni mkatoliki kabisa. Pengo kwakwel binafsi nilimtoa thamani kitambo sana.
Huyu Mzee enzi za utawala wa Muislam kikwete alikuwa busy kwa mkatoliki Slaa. Leo karudi kwa Sinzonje mkatoliki mwenzake.
Mbinguni hatutaingia kupitia pengo kama mpaka mafuta wa bwana bali tutaingia kupitia matendo mema. Hata suala la Lissu kanisa Katoliki walitoa statement baada ya kelele nyingi za watu ukizingatia Lissu ni mkatoliki.
Duuh kanisa Kwasasa siyo la wenye haki.
Unamuongelea Gwajima?Askofu asiyejua matatizo ya nchi ni mnafiki. Kumbe ndio maana alikuwa anatoa baraka kwa akina Bashite.
Kisichoandikwa ni sawa na nini?Uingereza wanayo katiba sema haijaandikwa acha kudanganya watu hapa