Mmeanza. Acha Chama aende zake. Wakati Simba anafungwa tano na Yanga Chama hakuwepo?SIMBA TRIP moja gereji Trip moja SHAMBA.
FT: KMC FC 2-2 SIMBA SC
31’—[emoji460]️ Wazir Junior
88’—[emoji460]️ Wazir Junior
57’—[emoji460]️ Saido Ntibanzokiza
58’—[emoji460]️ Jean Baleke
#LigiKuu
#FutbalPlanetUpdates
Je tuendelee kusema hakuna mkubwa kuliko timu[emoji23][emoji23]......mzu wa Chama utawasumbua sana
Chama alikuwepo siku mlipokula 5g na yanga.SIMBA TRIP moja gereji Trip moja SHAMBA.
FT: KMC FC 2-2 SIMBA SC
31’—[emoji460]️ Wazir Junior
88’—[emoji460]️ Wazir Junior
57’—[emoji460]️ Saido Ntibanzokiza
58’—[emoji460]️ Jean Baleke
#LigiKuu
#FutbalPlanetUpdates
Je tuendelee kusema hakuna mkubwa kuliko timu[emoji23][emoji23]......mzu wa Chama utawasumbua sana
Nilicho gundua .....bwana ayubu shut za mbali ni m,bovu[emoji23]KMC wangekuwa wanatumia vyema counter zao wangemchapa Simba hata 4.
Wameniudhi sana kwa kukosa umakini ktk counter walizokuwa wakizifanya.
Ubarikiwe Wazir Junior Shentembo.