Pengo la Chama limeanza kuonekana mapema

Pengo la Chama limeanza kuonekana mapema

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
SIMBA TRIP moja gereji Trip moja SHAMBA.

FT: KMC FC 2-2 SIMBA SC
31’—[emoji460]️ Wazir Junior
88’—[emoji460]️ Wazir Junior

57’—[emoji460]️ Saido Ntibanzokiza
58’—[emoji460]️ Jean Baleke

#LigiKuu
#FutbalPlanetUpdates

Je tuendelee kusema hakuna mkubwa kuliko timu[emoji23][emoji23]......mzu wa Chama utawasumbua sana
 
Mmeanza. Acha Chama aende zake. Wakati Simba anafungwa tano na Yanga Chama hakuwepo?
 
SIMBA TRIP moja gereji Trip moja SHAMBA.

FT: KMC FC 2-2 SIMBA SC
31’—[emoji460]️ Wazir Junior
88’—[emoji460]️ Wazir Junior

57’—[emoji460]️ Saido Ntibanzokiza
58’—[emoji460]️ Jean Baleke

#LigiKuu
#FutbalPlanetUpdates

Je tuendelee kusema hakuna mkubwa kuliko timu[emoji23][emoji23]......mzu wa Chama utawasumbua sana
Chama alikuwepo siku mlipokula 5g na yanga.
 
KMC wangekuwa wanatumia vyema counter zao wangemchapa Simba hata 4.

Wameniudhi sana kwa kukosa umakini ktk counter walizokuwa wakizifanya.

Ubarikiwe Wazir Junior Shentembo.
 
KMC wangekuwa wanatumia vyema counter zao wangemchapa Simba hata 4.

Wameniudhi sana kwa kukosa umakini ktk counter walizokuwa wakizifanya.

Ubarikiwe Wazir Junior Shentembo.
Nilicho gundua .....bwana ayubu shut za mbali ni m,bovu[emoji23]
 
Back
Top Bottom