Pengo la Hans Pope pale Simba litawatesa sana

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari wakuu

Tukiacha hizi tamaduni za utani wa kisoka na kuja kwenye proffesion ya mpira wa Bongo huyu mwamba Hans Pope alikuwa ni mtu na nusu kwenye carrier ya usajili.

Hizi tension za mara Barbra aondoke, mara Matola hatumtaki mara nani...... tatizo ni usajili.

Hans Pope alikuwa ni genius kwenye kufanya scouting.... kwenye hili alitutesa sana Wana YANGA [emoji23][emoji23][emoji23]....kila tukitafuta key players, mwamba anaenda kumuiba. Kwa kweli huyu jamaa alikuwa ni Mafia.

Nb..sijui kwa nini mashabiki wa Simba sio wavumilivu...yaani wao wanajua mpira ni kushinda tu[emoji3][emoji3]

Je! unautambua umuhimu wa huyu mwambaView attachment 2350124
 
Hii simba mpaka inakuja kukaa kwenye mstari kafara zitakuwa nyingi sana lazima watu waachie ngazi
 
Wakati tunasajiri nyie mlikua mna kejeri juhudi zile kana kwamba jambo lile halikuwahusu,jamani jamani...walisema yajayo yanafurahisha ndio haya sasa

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…